Kai Havertz Kutimba Chelsea

Uhamisho wa Kai Havertz unaonekana kufikia ukingoni kulingana na ripoti kadhaa kule London.

Kwa mujibu wa Football Fondon, Chelsea walikuwa wanamuhitaji nyota huyu kutoka Bayer Leverkusen, na hivi karibuni watakuwa wanathibitisha kukamilisha uhamisho wa staa huyu.

Kinda huyu ambaye ni raia wa Ujerumani aliamua kurejea nyumbani na kuungana na Mabingwa wa Bundesliga Bayern Munich, baada ya kushinda mataji mawili ya Ligi Kuu Uingereza akiwa chini ya Pep Guardiola pale Manchester City.

Tetesi za Kai Havertz kutimba Chelsea zimepata uzito na kuaminika zaidi baada ya Leroy Sane kusikika katika video moja akielezea ubora wa wachezaji wanaosainiwa kuingia Ujerumani.

Katika video hii Sane pia alisikika akisema Chelsea wamefanya vizuri sana kuwasaini wachezaji wazuri ambao Sane aliwataja kuwa ni Timo Werner na Havertz.

Inakumbukwa Julai 1, Werner alikamilisha uhamisho kuingia Chelsea kwa £47.5m akitokea RB Leipzig. Dili la Kai Havertz linatajwa kuwa €80m (£72m).

Kwa mujibu wa Daily Satar, wakala wa Kai Havertz na Chelsea tayari wameshakamilisha majadiliano juu ya dili la staa huyu. Huenda ni suala la muda tu kabla ya uhamisho wa Havertz utathibitishwa rasmi.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

37 Komentara

    Hiz n tetesi tuu litakapo funguliwa dirisha la usajili ndio utakapo amin

    Jibu

    Huyo kinda yuko vizuri sana anapenda anachokifanya

    Jibu

    Hii ipo poa sana kwa mashabiki wa Chelsea

    Jibu

    Katisha ngoja akafanye yake ukoo..ata kama ni tetesi tu….

    Jibu

    Ni usajili mzuri

    Jibu

    Ipo poa kwa mashabiki wa Chelsea

    Jibu

    Dalili ya mvua siku zote ni mawingi Chelsea wanamuitaji sana huyo dogo naimani dilisha la usajiri likifunguliwa ni lazima wainasa sain yake

    Jibu

    Chelsea wapambane kumnyakua kinda hyu

    Jibu

    Ni ujuzi mzuri

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa chelsea

    Jibu

    Ni usajili mzuri#Meridianbettz

    Jibu

    Nenda kaonyeshe kipaji chako

    Jibu

    Imekaa vizuri Sana kwa Chelsea

    Jibu

    Ni usajili mzuri

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa chelsea#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Chelsea.

    Jibu

    Mambo yanazidi kuwa mubashara upande wa Chelsea na mashabiki kwa ujumla karibu sana kwenye chama letu Kai Havertz

    Jibu

    Kai Havertz ni mchezaji ambae yupo kwenye kiwango kizuri na ataisaidia sana Chelsea kama akisajiliwa msimu ujao

    Jibu

    Kai havertz ni mchezaji mzuri Chelsea wakimchukua watakuwa wamefanya jambo jema

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    havertz ni mchezaji ambaye yupo kwenye kiwango kizuri

    Jibu

    Safii Sana turajie abari nzuri kwa kijana Kai

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Chelsea itakuwa timu tishio sana kwa usajili huu

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Havertz ni chelsea tu labda the blues wasitoe mkwanja

    Jibu

    Anafaa kwa matumiz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongezi kwa the blues na kocha wa Chelsea super farank lampard.

    Jibu

    iko poa

    Jibu

    Chelsea kama watakamilisha usajili huu watakua itakua poa sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni usajil mzuri sana

    Jibu

    Muda Ndio huu wakichelewa watajitokeza wengine wata mbeba kwa pesa nyingi

    Jibu

    Aende tu bwana sie tunataka burudan

    Jibu

    Ni Jambo zur

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.