Staa Iker Cassilas ametangaza rasmi kustaafu soka baada ya kupata mafanikio ya soka lake la kulipwa akiwa na Real Madrid, Porto ma Hispania.
Iker Casillas ambaye ana miaka 39, ameamua kutangaza kustaafu rasmi baada ya kutocheza soka kwa zaidi ya mwaka mmoja, tangia alipopata shambulio la moyo mwezi Mei mwaka jana akiwa mafunzoni na klabu ya Porto.
Mwezi Feburari mwaka huu, staa huyu alitangaza kujiondoa kwenye kuwania Uraisi wa shirikisho la soka (Royal Spanish Football Federation [RFEF]). Pia raisi wa Porto Pinto da Costa alitangaza kuwa Pedro amestaafu.
Licha ya mchezaji mwenyewe kutotangaza suala hili hadharani, kocha mkuu wa Porto Sergio Conceicao alilazimika kukanusha taarifa kuwa staa huyu atatokea kwenye gemu ya kuwaaga kwa mara ya mwisho kabla ya kuondoka rasmi.
Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii, Casillas ametoa tamko kuthibitisha kuwa anastaafu rasmi soka.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Issa
Iker kasillas kaacha historia kubwa madrid ni bora astaafu soka pia
Latifa juma mohamed
Ametengeneza historia kubwa ni vzr Zaid pia umri umeend a kazi na umri
Ernest
Casillas ni miongoni mwa makipa ambao wamejiwekea heshima kubwa sana kwa umahiri wao katika kuzuia mikwaju golini, Anastahili pongezi kwa kazi kubwa alioifanya kwenye nyakati zake.
Hope mwaikuka
Hongera kwa kufanya vzur kwa wakat wako, pumzka
Shafii
Anastahili kufanya ivyo kwasabu huu ndo wakati wake wa kustaafu kulingana na umri wake.
Theonestina
Atakumbukwa daima
Amiri Kayera
Mda wa Kula bata
farida ahmadi
Umri umeenda apumzike tyuu
Sabrina
Amejijengea heshima kubwa kwenye tasnia ya mpira
Mwanahamisi
Muda umeshamtupa mkono ni bora apumzike tuu
Samiah
Muda wakula bata
Frank
Kaona kushindana na buffon hawez tena
Gabriel
Iker Casilla atakumbukwa sana Ni golikipa anayecheza kwenye klabu ya FC Porto na timu ya taifa ya Hispania kama golikipa. Cassilas anajulikana kama golikipa mwenye mafanikio makubwa kwa muda wote katika soka.
Casillas alianza kucheza mpira mwaka 1999 katika timu ya wadogo ya Real Madrid. Akiwa Madid Casillas alipata mafanikio mengi ikiwemo kuchukua kombe la UEFA mara tatu na kuchukua kombe la LA LIGA. Katika timu ya taifa Casillas amefanikiwa kuiwezesha kuchukua kombe la Dunia mwaka 2010 nchini Afrika kusini walipocheza fainali na timu ya taifa ya Uholanzi.
Kwenye mafanikio yake amewahi kushinda tuzo ya golikipa bora wa dunia nyuma yake akiwa Buffon wa Italia mwaka 2010.
# meridianbet Tanzania
Furahav
Daah kapumzike iker.
Venerose
Mapumziko mema
Rehema
Atakumbukwa daima
Nasra
Mapumziko mema
Khadija
Mapumziko mema#meridianbettz
Caroline
Apumzike tu kashajichokea
Mwajumah
Hongera kwa kufanya vizuri kwa wakati uliokua kazin Sasa muda umeshakutupa mkono pumzika tu
magdalena
pongezi zake kwa kupata mafanikio na pia umri umeenda apumzike tu
Dorophina
Ameipa mafanikio mengi sana timu yake ni mda wake iker kupumzika sasa
Ester jackson
Katika timu ya taifa Casillas amefanikiwa kuiwezesha kuchukua kombe la Dunia mwaka 2010 nchini Afrika kusini walipocheza fainali na timu ya taifa ya Uholanzi.
Kwenye mafanikio yake amewahi kushinda tuzo ya golikipa bora wa dunia nyuma yake akiwa Buffon wa Italia mwaka 2010.
# meridianbet Tanzania
warda
Bora astaafu kwa Heshima#Meridianbettz
felister
anastahili kufanya ivyo huu ni wakati wake wa kustaafu
Zeiyana
Kila kitu kinaenda na wakati umeacha historia kubwa sana Real Madrid
Tatu
Muda wa kupumzika umefika
Fatina mfingi
Apumzike tu ni wakati wake!!
Salma ngende
Anastahili ilo
Sadick
Iker Casillas alikuwa na mafanikio akiwa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Spain#meridianbettz
Devotha
Mapumziko mema
Saupha mohamed
Alifanya vizuri..apumzike salaama tu
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana mda wake ushafika wakupumzika yupo sahii anacho kiongea mdaushafika kipasavyo anajinsi mapumziko mema
David Pere
Amestaafu kwa heshima kubwa saanaa