Mchezaji wa Manchester United Smalling athibitisha kuondoka Roma kuelekea kurejea kwa Europa League.
Mlinzi huyo wa Manchester United Chris Smalling amesema kwamba hatohusishwa katika katika michezo ya Roma iliyosalia kwenye Europa League.
Beki huyo wa kati wa England alitumia msimu huu kuwa na timu ya Roma kwa mkopo akitokea klabu ya Premier League Manchester United katika dili ya hivi karibuni iliongezwa muda iliaweze kumaliza katika michuano ya ndani ya Italia.
Lakini mpangilio wa makubaliano ya mwisho Manchester United na Roma hawakukubaliana Smalling kuhusika katika mashindano ya Europa League na katika hili Klabu yake ya zamani itaendelea kupata huduma ya mchezaji huyo.

“Nasikitika kwamba siwezi kumaliza kwa kile tulicho anza nacho msimu huu,” Smalling aliandika katika mtando wake wa twitter akiwa ameweka picha nne alizo vaa tisheti ya Roma.
“Nimepata uzoefu na kuoneshwa upendo ndani ya kipindi kifupi ni wa kipekee na hautosahaulika.
“Nataka kuwashukuru na kuwatakia wachezaji wenzangu na uongozi kila la kheri kwenye mchezo dhidi ya Sevilla. DAJE ROMA!”
Smalling mwenye umri wa miaka 30 amecheza michezo 30 katika ligi ya Serie A na wamemaliza katika nafasi ya tano, wakati pia alicheza kwa kuanza katika michezo mitano ya Europa League.
Ingawa Smalling atarudi United, ataendelea kuhusika katika michezo iliyosalia ya Man United kwenye michuano ya Europa League.
Inaweza kuwa ni stori ya tofauti kwa Alex Sanchez, mcchezaji mwingine wa United aliondoka kwa mkopo na kucheza katika ligi hiyo hiyo ya Serie A msimu wa 2019-20.
Inter wamemuhusisha mchezaji huyo raia wa Chile katika hatua inayo fuata kwenye michuano hiyo ya Europa League, kwenye mchezo dhidi ya Getafe wiki hii.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Shafii
Smalling sijajua Kama atakua kwenye mipango ya Manchester united bado.
Hope mwaikuka
Axante kwa taarifa
Theonestina
sasa anaweza kwenda anapopataka
Amiri Kayera
Ludi mwamba
farida ahmadi
Habari njema Sana
Sabrina
Asante kwa taarifa
Mwanahamisi
Habari njema
Issa
Pigo kwa roma
Samiah
Duuh
Frank
Imekuwaje tena hii me nikajua Roma wanamchukua jumla
Gabriel
Smalling bonge la mchezaji
Furahav
Rudi nyumbani kijana.
Venerose
Mwenda kwao si mtumwa rudi tu nyumbani
Rehema
Aisee
Franky
Tutarajie kumuona uko sasa eh
Caroline
Lakini amewaletea manufaa makubwa
Nasra
Duh
Mwajumah
Sasa anaweza kwenda anapopataka
magdalena
smalling arudi tu united
Dorophina
Smalling ni bora akatafuta klabu kubwa inayoendana na hadhi yake akaitumikie
aisha
Smalling chaguo ni lako kwenda popote ambapo patakupatia mafanikio
Ester jackson
Smalling mchezaji mzuri sana ingependeza kama angeenda kwenye timu kubwa akatumikie
warda
Nitammic sana mana nae alikuwa anatukosha #Meridianbettz
felister
tutarajia kumuona uko
Zeiyana
Smalling ni mchzaji mwenye uwezo mkubwa hitakua vizuri akichezea vilabu vikubwa
Fatina mfingi
Hatar
Tatu
Asante kwa taarifa
Latifa juma mohamed
Hot news
Salma ngende
Safari njema aendako
Sadick
Nilifikiri Roma itamununua moja kwa moja kama Sanchez alivyopata bahati hiyo akiwa Inter kwa mkopo#meridianbettz
Khadija
Smalling mchezaji mzuri sana#meridianbettz
Devotha
Habari njema
Saupha mohamed
Nomaa
Ernest
Smalling kurudi Man U ni tatizo kwake
Lydia Emmanuel Magoti
Habari njema kwake
David Pere
Ameamua kitu kizuri sanaa
Nasra
Safi