David Silva anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Lazio Jumatatu, akiwasili kama mchezaji huru kutoka Manchester City.
Kiungo huyu mwenye umri wa miaka 34 pia alikuwa na ofa kutoka MLS ya Inter Miami, lakini baba yake alithibitisha mchezaji huyo ana hamu ya kujaribu changamoto mpya kwenye ligi ya Italia, Serie A.
Kwa mujibu wa Corriere dello Sport, Sportitalia, Sky Sport Italia na vyanzo vingine, tangazo la kukamilisha kusaini linaweza kuja Jumatatu.
Sehemu ya mwisho ya kitendawili juu ya ushiriki wa Ligi ya Mabingwa kwa Lazio kimepata majibu, na habari ambazo Biancocelesti wamefuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa msimu wa 2020-21.
Lazio wanampatia staa huyu kandarasi ya miaka tatu na mshahara mnono, lakini pia mamboi mengine mazri, ikiwa ni pamoja na ndege binafsi kwa safari kwenda na kurudi kwa familia yake huko Uhispania na dereva kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale.
Silva amekuwa Manchester City tangu 2010 na mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu, baada ya Ligi ya Mabingwa.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Antony Luseno
Lazio wakifanikiwa kupata saini yake ni bonge la mchezaji watakuwa wamempata
Caroline
Lazio mtumieni David vizuri.ataleta mafanikio makubwa kwenye klabu yenu
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii Sana Lazio wakipata sani ya Silva ita kuwa vizuri Sana kwasababu Silva nimchezaji mzuri sana
JULIANA
Asante kwataharifa
Mwanahamisi
Asante kwa makala
Devotha
David Silva ni mchezaji mzuri Sana lazio wakifanikisha kumpata itakua dili zuri sana kwao
Zeiyana
Lazio wamekua na matokea mazuri msimu huu itakua vizuri wakiipata sain ya devid Silva
Povel
Kila la kheri habar njema
Adelta
Good news 👍
#meridianbettz
magdalena
lazio kazeni
Issa
Lazio wamepata mchezaj mzuri sana silva
Ni kiungo anaejua na city walimtumia vizuri sana
Khadija
Asante kwa makala#meridianbettz
Dorophina
Lazio wakimpata watakua wamepata kitu bora David yupo vizuri uwanjani
Amiri Kayera
Dah jembe Sana hili
felister
kila la kheri
Mwajumah
Asante kwa taarifa
Tatu
Kila LA khery
Fatina
Kila la kher
Hope mwaikuka
All ze best
Furahav
Hongera silva
Gabriel
Habar njema
Shafii
Deal nzuri kwa Lazio.
farida ahmadi
Safi Sana silva
Saupha mohamed
Kila LA kheri
Neema juma
Yuko vizuri akafanye maajabu huko aendako
Frank
Anaenda kukutana na kiungo fundi lucas leiva
Johnmary joel
Habari njema hizi#meridianbett
Latifa juma mohamed
Safi Sana Silva.
David Pere
Ni Jambo zuri kwenda kumaliza mpra wake kule Lazio
Genia Sikaluzwe
Kila la kheri
Ester jackson
Habari njema
Nasra
Kila la kheri
Samiah
Habari njema
Sabrina
Safi sana
Omary lukumbi
Hongera David Silva kwa kufanikisha hilo
warda
Silva Amekaa sana City acha asepe tu