Burnley wamejipanga kuinasa saini ya kipa wa Wolves, Will Norris.
Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 27 alitumika kwa mkopo na Ipswich Town kwa msimu uliopita na anatarajiwa kusepa Molineux kwenda Turf Moor.
Norris amecheza mechi 20 kwa kikosi cha Paul Lambert katika msimu uliopita, na amecheza mechi nane tangia alipojiunga na Wolves mwaka 2017.
Alianza rasmi soka alake la kulipwa akiwa na klabu ya Cambridge United, na kucheza mechi 93 kwa misimu yake minne klabuni hapo kabla ya kuungana na Wolves.
Staa huyu ana mwaka mmoja ambao bado umesalia kwenye mkataba wake na Wolves. Burnley wameamua kumpa kipaumbele katika mipango yao ya usajili kwa sasa.
Norris anatarajiwa kuwa ataleta ushindani katika idara ya magolikipa katika kuisaka namaba 1 kati yake na Nick Papa na pia Bailey Peacock-Farrell.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Leonard
Habari kwa mchezaji mwenyw ili aende akapata changamoto mpya
Mwanahamisi
Gud news
Adelta
Norris Ni kipa mzuri kwa kuleta
Ushindani wa kipa bora
@meridianbettz
magdalena
endapo burnley wakampata uyu mcheaji watakuwa wamepata bonge la mchezaji anaejituma sana
Gabriel
Burnley wanapengo kubwa sana upande wa ulinzi hivyo Kama watafanikiwa kumnasa Norris watakuwa wamefanya vzur sana
Ernest Kimeru
Sio mbaya anaenda kupambana na changamoto mpya
Sadick
Ligi ya Italy inasifika sana kwa timu zake kuwa na mifumo bora ya ulinzi wa goli, nadhani Burnley wameng’amua hilo kwamba ulinzi wa goli ndio kila kitu#meridianbettz
Fatina mfingi
Bora ubadilishe upepo!
Johnmary joel
Hongera nenda ukaendeleze mapambano#meridianbett
Mwajumah
Sio mbaya aende akapambane tu #Meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri sio ukae sehemu moja hiohio kamua kubadilisha upepo
Furahav
Nenda tu kapambane.
farida ahmadi
Habari nzuri Sana
Nasra
Akipata changamoto sio mbaya
Dorophina
Kila lakheri kwake anaenda kwenye timu nzuri kwa kiasi haende akaonyeshe kipaji chake alichokuwa nacho
Zeiyana
Will Norris ni kipa mwenye viwango vyake
felister
sio mbaya anaenda kupambana na changamoto
Issa
Safi kwa burnley
Sauda
Burnley wakimpata mchezaji huyo watakuwa wamepata jembe
Ester jackson
Yuko vizuri sana goli kipa but
Hope mwaikuka
Itakua poa sana
Devotha
Ni kipa mzuri atawafaa
Sabrina
Burnley wamepata kipa bora sana
Njiku
Safii hii IPO poa usajili ndio unafanya timu kuwa bora hasa ukimsajili mchezaji mwenye uwezo
Fatuma kasomo
Gud news
Latifa juma mohamed
Norris tunatarajiwa kuwa ataleta ushindani katika idara ya magolikipa katika kuisaka namaba 1 .
Theckla
Kwenda kupata changamoto mpya ndio Jambo zuri kwa wachezaji ni kipa mzuri sana
David Pere
Burnley wanapengo kubwa sana upande wa ulinzi hivyo Kama watafanikiwa kumnasa Norris watakuwa wamefanya vzur sana zaidi ya msimu uliopita
Omary lukumbi
Hii imekaa poa sana na wamepata goli kipa mzr sana
aisha
Oky kila la kheri broo na haya maisha usikae sehemu moja tuu nilazima uende sehemu mbali mbali ili uongeze kipaji chako
Tatu
Wolves wamefanya jambo LA maana
warda
Norris Yuko poa kiasi Fulani#Meridianbettz
Caroline
Asante kwa taarifa
Mariam mtandama
Asante kwa taarifa meridianbet #
Shafii
Gud news.
Samira
Hongereni sana Burnley kijana yupo vizuri
Khadija
ni kipa mzuli sana atawafaa
Rehema
Safi
Neema
Hakuna tatizo aende tu
Povel
Maisha popote
Saupha mohamed
Safi
Salma ngende
Vizuri
Samiah
Safi
farida ahmadi
Maamuzi yake binafsi mwenyewe