Bakayoko Agoma Kurudi Chelsea

AC Milan watajaribu kumsajili Tiemoue Bakayoko kwa mkopo kutoka Chelsea badala ya kuamua kufanya uhamisho wa kudumu – Kulingana na Sportitalia, kiungo huyo inasemekana anapendelea kwenda klabu hoyo ya San Siro baada ya kutumia msimu wa 2018/19 kwa mkopo.

Bakayoko hakuwepo kwenye kikosi cha Chelsea chini ya Lampard baada ya kutumia msimu wa 2019/20 kwa mkopo huko Monaco, na The Blues inaamini kuwa kumuuza Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 25 itakuwa ni jambo sahihi.

AC Milan wameanza mazungumzo na Chelsea kumsajili Tiemoué Bakayoko. Ambapo ofa yao ni €3M kwa mkopo pamoja na €35M kumnunua moja kwa moja na ikumbukwe mchezaji huyo anataka kurudi Milan.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

39 Komentara

    Bakayoko Jina limepotea sana#Meridianbettz

    Jibu

    Bakayoko kashuka kiwango

    Jibu

    Bakayoka yupo poa sanaa

    Jibu

    Bakayoko anaanza kufeli sasa#Meridianbettz

    Jibu

    Bakayoko anamaamuzi yake mwenyewe
    Wamwache@meridianbettz

    Jibu

    Wakati wake umekwisha sasa

    Jibu

    Kama wameamua kumpeleka ac milan wampeleke tu moja kwa moja wasije anza kumuyumbisha mara abaki

    Jibu

    Makala mazur

    Jibu

    Me naona bakayoko hataki kurudia matapishi safi sana msimamo ndio kitu kinacho takiwa

    Jibu

    Hana jipya bakayoko pole yake

    Jibu

    Pole yake kijana bakayoko

    Jibu

    Bakayoko anatakiwa kufanya uamuzi sahihi juu ya timu ya kwenda

    Jibu

    Uamuzi ni wake, kazi kwake kuchagua.

    Jibu

    Bakayoko kiwango kimeshuka Sana

    Jibu

    Aliyekuwa Kocha Chelsea Antonio Conte hakuridhishwa na usajiri wa Bakayoko kwenda Chelsea jambo ambalo lilipelekea mahusiano yake na Bodi yadorore hatimaye kupelekea kufukuzwa#meridianbettz

    Jibu

    asitufokee bakiyoyo 🙌

    Jibu

    Bakayoko Chelsea ilishamshinda akipige tu huko huko serie A.

    Jibu

    Bakayoko kiwango chenyewe cha uchezaji mzuri hana abaki tu huko alipo

    Jibu

    Bakayoko hebu fanya uamuzi sahihii

    Jibu

    Asnt kwa taarif #meridianbet

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Chelsea wanahitaj mabek sio washambuliaji

    Jibu

    chalsea wanahitaji mabeki sio washambiliaji

    Jibu

    Bakayoko ana hofia kukaha benchi Kama atarud Chelsea ndo maana anawasisi kuliko alapo now namba huwakika kule

    Jibu

    Bakayoko yupo poa sana lampard amchukue tu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Habari njema.

    Jibu

    Hv yupo huyu mtu

    Jibu

    Maamuzi ni yake tu

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Bora aende milan

    Jibu

    Kazi ni kwake

    Jibu

    Yote sawa tu kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Maajabu Hana kashuka kiwango!!!

    Jibu

    Bora aende milan

    Jibu

    Bakayoko anatakiwa kufanya uamuzi sahihi juu ya timu ya kwenda

    Jibu

    kama anakwenda ac milani aende moja kwa moja wasimuyumbishe

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.