Usajili wa kushtukiza umetokea kunako La Liga – Real Sociedad wakamalisha usajili wa David Silva ambae amesajiliwa kama mchezaji huru.
Mapema dirisha la usajili lilipofunguliwa, taarifa zilisambaa kwamba Lazio inayoshiriki Serie A walikuwa mbioni na pengine ndio timu ambayo Silva angeitumikia kwa msimu ujao baada ya kuondoka Manchester City.

Usajili wa Silva ulitangazwa kupitia ukurasa rasmi wa timu ya Real Sociedad, taarifa rasmi ilisema ” Real Sociedad imekamilisha usajili wa David Silva kwa mkataba wa miaka miwili mpaka Juni 2022.
“Mchezaji huyu ambaye amesajiliwa kama mchezaji huru akitokea Manchester City, anatarajiwa kuungana na wachezaji wenzake katika maandalizi ya msimu ujao.”
Silva atavaa jezi namba 21 ambayo ilikuwa inavaliwa na Martin Odergaad aliyekuwa akicheza Real Sociedad kwa mkopo akitokea Real Madrid msimu uliomalizika.

Kwa miaka 10, David Silva ameitumikia Manchester City na kuwa miongoni mwa wachezaji bora kuwahi kutokea kwenye kikosi hicho. Alipokuwa Manchester City, Silva alicheza michezo 436, amebeba makombe 4 ya EPL, 2 ya FA, 5 Kombe la Ligi – Carabao Cup na Ngao 3 za jamii.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Zeiyana
Kwa matokea waliyokua nayo Lazio wapo vizuri kiasi me naona kwa usajiri wa davida silva yote inapelekea kuimarisha timu yao..!ukiangali davida nae yupo vizuri sana
aisha
Silva ni mchezaji mzuri napia anajituma sana kwenye mpira namtakia kila la kheri
rama
Maoni:vizuri akazid kuimalisha kiwango chake
Antony luseno
Kuna baadhi ya wachezaji unahisi kwamba ni mapema mno kwa klabu kuwauuza
Dorophina
Silva yupo vizuri ataisaidia timu ya real sociedada vizuri tu
Flomena
Wellcm
magdalena
silva ni mchezaji mzuri sana real sociedad haitojuta kumsajili
Ester jackson
Habari njema
Ernest
Imekuaje tena mbona tetesi hazikusema kama ataenda Spain??!!
Saupha mohamed
Hayo mapya imekuaje tena
Dorophina
Silva yupo vizuri ataisaidia timu ya real sociedada vizuri tu
Tatu
Silva ni mchezaji mzuri
Nasra
Silva yuko vzuri
Caroline
Safi sana
Sauda
Kila la kheri Silva
felister
hii kweli ya kushtukiza mana ata hatujasikia tetesi tetesi
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Silva yupo vizuri Sana anajua
Venerose
David yupo vinzur
Shan
Ni usajiri mzuri.
Salma ngende
Safi sana
farida ahmadi
Kila la kheri Silva
Neema
Wamepata jembeee
Gabriel
David Silva ni bonge la mchezaji yuko vzur
Furahav
David bado yuko.
Sabrina
Hongera sana David Silva
Hope mwaikuka
Popote tu mrad mkono uende kinywan
Fatuma kasomo
Habari njema
Theonestina
Safi sana
Issa
Sociedad wamepata kiungo ila wawe makin umri na majeruh yanamsumbua
Shafii
Ni bonge la usajili kwa socieded.
Povel
Welcome SIlva David sociedad kila la kheri kwny maisha mapya
Samiah
Safi
Janeflora malisa
Nice
Latifa juma mohamed
Karibu David silver ktk ulimwengu wa socied, mashabiki tunarajia mengi mema toka kwako.
Khadija
David yupo vizuli
Mwajumah
Habari njema
Fatina mfingi
Habar njema
David Pere
Imekuaje tena mbona tetesi hazikusema kama ataenda Spain
Omary lukumbi
Wamepata mchezaj mzr sana
Sadick
David Silva inawezekana amependa kurudi nyumbani Spain badala kuanza mazingira mapya nchi ngeni#meridianbettz
Devotha
Silva ni mchezaji mzuri
warda
Silva yuko vizuri sana