Azam Wamnasa Dube

Azam FC imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube, tukimsajili kutoka Highlanders FC ya huko.

Dube ambaye ni mmoja ya washambuliaji hatari Zimbabwe, akiwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya nchi hiyo cha wachezaji wa ndani, anakuja Azam FC kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji.

Benchi la ufundi la Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Aristica Cioaba, limeridhishwa kwa kiasi kikubwa na uwezo wake kwa muda wote waliomfuatilia hadi kuamua kumsajili.

Huo unakuwa usajili wa saba kwenye kikosi cha Azam FC, katika dirisha hili la usajili kwa ajili ya msimu ujao, wengine wakiwa ni kipa David Kissu, beki wa kushoto Emmanuel Charles, kiungo mkabaji Ally Niyonzima, viungo washambuliaji Awesu Awesu, Ismail Aziz na Ayoub Lyanga.

Awesu Awesu

Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

34 Komentara

    Azam wamempata mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Hongera Azam kwa kupata jembe

    Jibu

    Alakati zote hizi za usajiri wa azamu hinatia hamasa kwa mashiki wao naona kwa mbali wainampango wa kuirudisha azamu fc ile ya zamani

    Jibu

    Big up kwa azam kapata mchezaji mzuri na pia anajua mpira

    Jibu

    Huo unakuwa usajili wa saba kwenye kikosi cha Azam FC, katika dirisha hili la usajili kwa ajili ya msimu ujao, wengine wakiwa ni kipa David Kissu, beki wa kushoto Emmanuel Charles, kiungo mkabaji Ally Niyonzima, viungo washambuliaji Awesu Awesu, Ismail Aziz na Ayoub Lyanga.

    Jibu

    azam wamefanya usajili mzuri sana maana inasemekana wachezaji kutoka katika nchi za nje wamekuwa wakifanya vizuri zaidi kwahiyo nina imani dupe atakuwa na mchango mkubwa sana pale azam fc

    Jibu

    Ligi msimu ujao itakuwa na ushindani sana, Nafurahi kuona Azam wakijipanga kivingine zaidi

    Jibu

    Azam sasa wanajipanga vixuri

    Jibu

    Azam wanazidi kupanda chati kwenye usajili wao

    Jibu

    Dube ni mshambuliaji hatari

    Jibu

    Azamu wameramba karata joka sasa tusubiri kuona itakuwaje

    Jibu

    nimefurahi kuona azam wakijipanga vizuri zaidi msimu ujao

    Jibu

    Azam wamepata chuma kipo vizuri

    Jibu

    Hongereni sana Azam

    Jibu

    Pongezi ziende kwa uwongozi wa azam.

    Jibu

    Hongera azam

    Jibu

    Azam nao ni hatareee

    Jibu

    Prince Dube ninaiman nae sana yuko vzur sana azam usajil wao uko vzur

    Jibu

    Azam kweli wanaitaji ubingwa msimu ujao.

    Jibu

    Anafaaa tu

    Jibu

    Safi azam

    Jibu

    Azam wamelamba dumee

    Jibu

    Hongera azam

    Jibu

    Pongezi za dhati kwa uwongozi wa azam fc.

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik wa matajir wa jiji la dar es salaam kila la kheri dude

    Jibu

    Good

    Jibu

    Azam wamepata mchezaji mzuli sana

    Jibu

    Ongera azam kwa kupata jembe

    Jibu

    Prince Dube ninaiman nae sana yuko vzur sana azam usajil wao uko vizuri sanaa

    Jibu

    Safi sana azam

    Jibu

    Kwa usajiri huo Azam inataka kurejea nafasi ya ushindani ktk Ligi kuu ya Vodacom nchini#meridianbettz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mmmm dude wala hajui

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.