Nahodha wa Southampton Ward-Prowse amesaini dili mpya ya miaka mitano na timu hiyo ya Premier League.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alijiunga na klabu hiyo akiwa na miaka nane na tayari amekwisha tumia misimu nane akiwa ni sehemu ya kikosi cha kwanza cha Southampton.
Msimu wa Premier League 2019-20 alicheza dakika zote kila mchezo na alichukua nafasi ya kuwa nahodha kutoka kwa Pierre-Emile Hojbjerg aliyetimkia Tottenham mwishoni mwa msimu.
Southampton imethibitisha kufanyika kwa makubaliano na Prowse kupitia tovuti rasmi ya klabu siku ya Jumatatu kwamba wameingia makubaliano na mchezaji huyo wa Uingereza kuendelea kuwa Southampton mpaka mwaka 2025 .

“Nadhani hii ni furaha kubwa kwamba nimekuwa mchezaji wa Southampton kwa miaka michache, sio kwa sababu ni nahodha tu bali ni vile mambo yanavyo endeshwa kuanzia kwenye timu mpaka klabu,” alisema
“Sisi ni sehemu ya timu inayoendelea kila wakati, kwenye maeneo tofauti tofauti, na kwa wachezaji tumekuwa tukifurahishwa, nadhani tumetokea chini msimu uliyopita lakini tumejitahidi mpaka tumemaliza msimu tulikuwa nafsi nzuri kidogo, hii ni kwasababu tunahitaji kuwa timu bora.
“Lakini nadhani kila mtu atakuwa na msisimko wa kurudi kwenye ligi na kusahihisha tulipo kosea msimu uliyopita, lakini pia ni furaha kuwa na mwalimu ambaye amekuwa na matokeo chanya ndani ya klabu.”
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Dorophina
Ward anaumuhimu sana katika timu yake ya southampton ndio maana wanaendelea kumuongezea mkataba
Asia Abdy
Good news
Aziza mushi
Habari njema.
Edgar
Iko poa
rama
Maoni:vizuri sana
Sauda
Kila la kheri kwake
Nasra
Gud news
Zeiyana
Southmpton Bado wana umuhimu nae ward prowse na ndio maana wamemuongezea mkataba ni vizuri sana clabu kama clabu kuijua samani ya mchezaji wao sio kama Chelsea kwa William wamezingua sana
aisha
Nafikiri nidhamu na busara ya hali ya juu ndio imemfanya ward-prowse kuendelea na timu yake hongera broo
Flomena
Southampton imethibitisha kufanyika kwa makubaliano na Prowse kupitia tovuti rasmi ya klabu siku ya Jumatatu kwamba wameingia makubaliano na mchezaji huyo wa Uingereza kuendelea kuwa Southampton mpaka mwaka 2025 .
magdalena
southampton imeona mchango wake mkubwa katika kikosi ndio maana imeamua kumpa tena mkataba mwingine ili aendelee kuonesha jitihada zake katika timu
Ester jackson
Ward-Prowse umepata timu zuri sana no muda Wa kupambana kama lukaku
Ernest
Southampton wametambua mchango wa Ward-Prowse maana alikuwa na mchango mkubwa sana msimu wa 2019/2020
Tatu
Kila LA kheri ward utaenda kufanya maajabu huko
Caroline
Hongera yake
Lydia Emmanuel Magoti
Ward -Prowse amepata timu nzuri Sana kwakuitumikia kipasavyo pambana jembe upo sehemu salama
felister
hongera ward kwa kusaini mkataba wa miaka mitano
Venerose
Safi sana
Shan
Ni habari njema.
Salma ngende
Vizuri
farida ahmadi
Safi Sana
Gabriel
Ward-Prowse ameonyesha uwezo mkubwa sana mpk anapata nafas ya kusainishwa upya n habar njema sana
Furahav
Habari njema.
Neema
Safiii sana
Sabrina
Hongera yake namtakia kila la kheri
Hope mwaikuka
Inapendeza sana
Fatuma kasomo
Gud
Theonestina
Vizur
Shafii
Habari nzuri.
Issa
Safi kuongeza kandarasi
Povel
Kila la kheri ward prowse
Samiah
Safi sanaaa
Janeflora malisa
Nice
Latifa juma mohamed
Hongera Sana.
Khadija
Habari njema
Mwajumah
Habari njema
Fatina mfingi
Nice
David Pere
Ward-Prowse ameonyesha uwezo mkubwa sana mpk anapata nafas ya kusainishwa upya n habar njema sana
Omary lukumbi
Hongera sana Southampton kukamilisha usajili
Sadick
Nahodha Ward-Prowse anasitahili kupata mkataba mpya#meridianbettz
warda
Hongera yake sana