Simba vs Yanga, Oktoba 18 kwa Mkapa

Bodi ya ligi kuu nchini Tanzania (TPBL) imetangaza rasmi ratiba ya msimu Mpya wa ligi kuu bara unaotarajia kuanza mnamo September 6, 2020.

Mabingwa watetezi wa Simba Sc watafungua pazia dhidi ya Ihefu ya Mbeya siku ya Jumamosi September 6, 2020 wakati mabingwa wa Kihistoria Yanga Wakicheza na Tanzania Prison siku ya jumapili kwenye uwanja wa Mkapa saa moja usiku.

Mchezo wa watani wa Jadi kati ya Simba na Yanga utachezwa Oktoba 18 majira ya saa 11 jioni kwenye uwanja wa Mkapa.

Mechi zingine zitakazofungua ligi hiyo ni pamoja na Namungo Vs Coastal Unioni, Biashara Vs Gwambina, Dodoma Mji Vs Mwadui, Mtibwa Vs Ruvu Shooting, KMC vs Mbeya City, Kagera Sugar Vs JKT Tanzania na Azam Vs Polisi Tanzania.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

34 Komentara

    Habar njema kwa wapenz na mashabik wa VPl kila la kheri K/Koo dabi

    Jibu

    We wee mashabiki tunasubiri kwa hamu sana hiyo dabi mechi tuone nani atamkalisha mwenzie

    Jibu

    Mashabiki tunasubiri hiyo dabi tumuone Morison

    Jibu

    Hii mechi iatkuwa kal sana kwan itakuwa mech ambayo ni yakuonyesha kuwa yanga wanauwezo gan maana wamepunguza magarasa kibao now wapo vidume tupu siku hiyo naingojea kwa ham

    Jibu

    Mechi ya kisasi lazima wakae wana wa msimbazi

    Jibu

    Patakua hapatoshi.

    Jibu

    Hii mechi yanga hawatoweza kukaa kimya lazima watataka kulipiza kisasi tu

    Jibu

    Can’t wait

    Jibu

    Ntunasubiri kwa hmu.

    Jibu

    Tunasubiri mtanange

    Jibu

    Piga kelele kwa simba yake nauona ushindi kwa simba kabla siku iyo haijafika simba oyeeeeee

    Jibu

    Tuna subiri kwa hamu zote mtanange simba vs yanga so tumeona usajiri mkubwa sana walio fanya. tuone vidume kazni

    Jibu

    mtanange tunaousubiria kwa hamu zote tunataka kutona nani mbabe kwa mwenzake baada ya kufanya usajili wa wachezaji wapya

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Tombe uzima tuu bado kitambo kidogo sana tuanze msimu mpya wa kandanda safi

    Jibu

    Jamani jamani I can’t imagine .itakua rahaaa

    Jibu

    Tunasubiti kuona mambo yatakuwaje mana kuona wapizani kama nawaona walivyo kuwa ….(……)

    Jibu

    patakua hapatoshi tuombe dua mwenyezi mungu atupe uzima

    Jibu

    Washabiki wasimba sisi shangwe tuuu afekipa afe beki apatoshi siku hiyo nyavu kutikiswa tuu hapo

    Jibu

    Atalii nasubili kwa hamu

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Patachimbika kiwanjani.

    Jibu

    Asiye na mwana abebe jiwe

    Jibu

    Sijui itakuaje siku hiyo tunaisubiria kwa hamu

    Jibu

    Tunasubili kwa amu hiyo ligi kuu ya tanzania.

    Jibu

    Itakua balaa mjin

    Jibu

    Yanga lazima akae

    Jibu

    Mambo mazur

    Jibu

    Mashabiki wa simba tusasubili kwa hamu mtanange wa haina yake simba piga yangaaaa

    Jibu

    Patakua hapatoshi iyo siku#Meridianbettz

    Jibu

    mechi iatkuwa kal sana kwan itakuwa mech ambayo ni yakuonyesha kuwa yanga wanauwezo gan maana wamepunguza magarasa kibao now wapo vidume tupu siku hiyo naingojea kwa hamu sanaa

    Jibu

    Hii kariakoo darby inakuaga na matukio ya kushangaza

    Jibu

    Kariakoo derby#meridianbettz

    Jibu

    Hiii itakuwa moto

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.