Klabu ya Chelsea imeripotiwa kuwa wamekubali kumuacha Tiémoué Bakayoko kusalalia Italia akiwa AC Milan kwa mkopo huku kukiwa na sharti la kumnunua.
Kwa mujibu wa SportMediaset, Milan hawana shida na kukamilisha dili na Chelsea, kwa upande wao hakuna tatizo katika kufanya makubaliano na mshambuliaji huyu.
Awali taarifa zilizoripotiwa ni kuwa nyota huyu alikataa kurejea Uingereza kuichezea timu yake ya Chelsea. Taarifa zaidi zinadai kuwa Bakayoko aliamua kushinikiza kuhamia San Siro ambako alikuwa anahitaji kuwepo kwa sasa.
Inadaiwa kuwa klabu ya Chelsea imekubali kumuacha staa huyu asalie Milan kwa mkopo huku kukiwa na sharti la kumnunua kwa dirisha lijalo la msimu wa joto.
Msimu uliopita Bakayoko ameutumia akikipiga kule Monaco kwa mkopo.
Mkataba wake wa sasa kule Stamford Bridge unafika tamati mwaka 2022, lakini Milan wametoa ofa ya kumchukua mwaka 2021.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Zeiyana
Bakayoko yupo vizuri sana ndio maana Chelsea bado wanaumuhimu nae
Sadick
Usajiri wa Bakayoko na wenzie ulisababisha kutoelewana kati ya aliyekuwa Kocha wa Chelsea Antonio Conte na bodi ya timu kwamba hawakuhitajika#meridianbettz
Sabrina
Hongera Bakayoko kwa kuendelea kusalia milan
Theonestina
Hongera bakayoko
Amiri Kayera
Bakayok bado mchezaj mzur asalie t huko Italy
jullie
hongera zake
David Pere
Usajiri wa Bakayoko na wenzie ulisababisha kutoelewana kati ya aliyekuwa Kocha wa Chelsea Antonio Conte na bodi ya timu kwamba hawakuhitajika
Leonard
Jambo zuri kubaki huko italy
warda
Wangemchukua tu#Meridianbettz
Ernest
Kila la kheri Bakayoko
Dorophina
Bakayoko yupo vizuri ni vizuri zaid yy kusalia italy
Mwanahamisi
Bakanyoko ni mchezaji mzuri
magdalena
bakayoko yupo vizuri sana nina imani kazi nzuri ataifanya na kushangaza watu
Khadija
Bakayoko yupo vizuli
Sauda
Kila la kheri kwake
Mwajumah
Bakayoko ni mchezaji mzuri#Meridianbettz
Fatina mfingi
Yupo vizur
Ester jackson
Chelsea wamefanya jambo la muhimu sanq kumuacha bakayoko na Milan na kuwataka wamsajili kabisa pasiwepo na mkopo tena
Caroline
Bakayoko Bora ubakie Italia
felister
wangemchukua jamani
Shafii
Hata Kama angerudi asingekua na namba kwenye kikosi cha frank lampard.
Saupha mohamed
Jamaa yupo vizuri
Issa
Bakayoko ni safi kwale sana
Janeflora malisa
Kwaher
Furahav
Baki tu uko ukuze kiwango chako.
Rose kapinga
Bakayoko jembee
Hope mwaikuka
Bakayoko namkubal sana
lombo
jesh
Salma ngende
Yuko vizuri
Omary lukumbi
Abaki tuu
neema hassan
Kila la kherii
Asia Abdy
Ana mauwezo jamaa
Samira
Ni bora tu abakie huko huko Italy
Flomena
Kwa mujibu wa SportMediaset, Milan hawana shida na kukamilisha dili na Chelsea, kwa upande wao hakuna tatizo katika kufanya makubaliano na mshambuliaji huyu.
Njiku
Ipo sawa tu
Povel
Congrat bakayoko kubak milan
Rehema
Bonge la makala
aisha
Bakayoko serie A ndio mahala pake.
Theonestina
Habari njema
Gabriel
Tiémoué Bakayoko ni bonge la mchezaji yuko vzur sana
Agness
Good news
Devotha
Asante kwa taarifa