Chelsea imefanikiwa kupata saini ya kipa wa Rennes, Edouard Mendy baada ya kufikia makubaliano ya kulipa pauni milioni 22 kama dau la kuipata saini yake.
Kipa huyo mwenye miaka 28 anatarajiwa kusaini dili la miaka mitano na awali dau lake lilikuwa linatajwa kuwa pauni milioni 22.

Kocha Mkuu wa Chelsea, Frank Lampard anahitaji kipa mpya ndani ya timu yake kwa ajili ya msimu huu wa 2020/21 ili kusaidiana na kipa namba moja ndani ya timu hiyo Kepa Arrizabalaga
Ikiwa dili la Mendy ambaye amecheza jumla ya mechi 34 kwenye timu yake litakamilika basi atafikisha idadi ya nyota saba ambao wamesaini ndani ya Chelsea.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Devotha
Hongera kwake Mendy Kila la kheri
Adelta
Good 👍@meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yao Chelsea kwakupata jembe Mendy yupo sahii piga Kaz dogo marengo yatime upatakapo
Zeiyana
Kwa usajili huu walio ufanya Chelsea tunatumaini kuona mabadiliko makubwa
Dorophina
Kila lakheri medy
Rehema
Hongera yake medy
jullie
deal done
Antony Luseno
Kwa msimu huu Chelsea wamejitahidi sana kwa swala la usajili
caroline
kwa kweli kikosi cha chelsea kipo vizuri
Mwajumah
Hongeren Chelsea kwa kupata jembe#Meridianbettz
Nasra
Hongera chelsea
Angelina
Goodnews
Sauda
Pongezi kwa Mendi.
Tatu
Mendy anaenda kufanya maajabu Chelsea
felister
Chelsea naona nao hawataki kukaa nyuma msimu huu
Ernest
Kepa ajipange naona Chelsea ameamua
aisha
Lampard amefany usajil wa maana msimu huu inabid ama achukue ubingw ama amalize nafas 4 za juu
Hidaya
Chelsea wameamua kufanya kweli
Janeflora malisa
🔥🔥
Gabriel
usajili huu walio ufanya Chelsea tunatumaini kuona mabadiliko makubwa
Hopemwaikuka
Dah ! Wamepaga jembe Chelsea
Khadija
Kila la kherj medy#meridianbettz
Issa
Ubingwa ndio kitu anatakiwa apambane nacho lampard
Amiri Kayera
Chelsea imejipanga Sana msim huu
Saupha mohamed
Chelsea wapo vizuri
JULIANA WILBARD ALEX
Pongezi kwa Chelsea
Povel
Welcome Mendy darajan👊👊👊
Asia Abdy
Safiiiii
Neema
Hongera kwake mendy
Theonestina
Safiii
Elika
Safi sana
David Pere
Lampard amefany usajil wa maana msimu huu inabid ama achukue ubingw ama amalize nafas 4
magdalena
mendy ni goalkepper mzuri sana chelsea watakuwa wamepata
warda
Bora hata wampate huyu Mendiy Mana wanafungwa sana#Meridianbettz
Fatina mfigi
Safii
Flomena
Pongezi kwa Chelsea now wameamua
Leonard
Jambo zuri
Fatuma kasomo
Safii sana
Mwanahamisi
Hongera chelsea
Salma ngende
Kila LA heri
Sadick
Kwa namna Kepa anavyoyakoroga Mendy ana nafasi kubwa ya kucheza mara kwa mara#meridianbettz
Zahara omary
Nivizur
Shan
Matarajio yao kwa kepa yamekuw tofaut hivyo swla la mlinda mlango limekuw tatizo kwa lampard
Sabrina
Hongera meddy