Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa siyo kazi yake kuwafurahisa wachezaji, asema “Kazi yangu ni kuchagua wachezaji, na kupata matokeo”
Wachezaji kadhaa bado hawajapata nafasi ya kuanza katika mechi za Man United. Mawakala wa Jesse Lingard wanatajwa kuwa katika mazungumzo na vilabu vingine vya ulaya, wakati Chris Smalling, Phil Jones, Marcos Rojo, Sergio Romero na Andreas Pereira wote wakiwa bado kupata nafasi kwenye mechi.
Ole Gunnar, amwewaonya kuwa wachezaji wote ambao wameanza kupoteza radha klabuni hapo wanahitaji kufanya bididii kujirejesha kwenye fomu nzuri ili waweze kuzingatiwa katika kikosi chake.
United hawajafanya sajili nyingi katika dirisha hili, wakiwa wamefanikiwa kumsajili Donny Van de Baek pekee. Suala hili linahusishwa na hali ya uchumi klabuni hapo. Lakini kwa wachezaji waliopo, lakini hawapo kwenye fomu nzuri kwa meneja huyu wanahitaji kuendelea ‘kusikilizia’ huku wanajiboresha kurejea kwenye mipango yake.
“Wachezaji wanafurahi pale wanapocheza vizuri na kupata ushindi kwenye mechi, siyo kazi yangu kuwafurahisha, kazi yangu ni kuchagua wachezaji na kupata matokeo” -Ole Gunnar
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Elika
Safi sana kocha
Dorophina
Yupo sahihi ole
Ester jackson
Acha kujitetea mbinu ambazo mnatumia katika upangaji wa kikosi ni ule ule wa nyuma angalau mngekuwa na mbinu mbadala tatu za kufanya mapinduzi tukiangalia mchezo uliopita tumeona mkiongeza ubunifu mwengine ambao umewaletea mafanikio.
Neema
Anachosema kocha ni sahihi
aisha
Uko sahihi ole gunnar
Hopemwaikuka
True say
Sabrina
Ole makini sana
Issa
Kocha lazima awe na maamuz
Zahara omary
Lazim awe na maamuzi
Flomena
Good news
Mwanahamisi
Yuko sahihi
Mwajumah
Anachosema kocha ni sahihi
Fatina
Gud snaaa
felister
lazima awe na maamuzi
Nasra
Nice
Lydia Emmanuel Magoti
Anacho kiongea kipo sahii
Caroline
Ole Gunner usiwachekee wachezaji.fanya kazi yako.maana ukiwachekea mtapata matokeo mabovu
Adelta
Safi Sana kocha
Saupha mohamed
Safi sana
Gabriel
Ole Gunnar ameshapotea msimu huuu
Shani
Ole yupo sahih kwenye kazi yake na anapaswa asimamie kwenye nafas yake kwa timu yeny mastaa kam man u
Amiri Kayera
Kocha chiz uyo
Samiah
Safi
David Pere
Acha kujitetea mbinu ambazo mnatumia katika upangaji wa kikosi ni ule ule wa nyuma angalau mngekuwa na mbinu mbadala tatu za kufanya mapinduzi tukiangalia mchezo uliopita tumeona mkiongeza ubunifu mwengine ambao umewaletea mafanikio.
magdalena
ole bado hayuko vizuri katika kutumia mbinu nzuri za kuwapanga wachezaji wanaoweza kuleta matokeo mazuri katika timu
Povel
Ole msimu huuuu wakati wake huuu