David de Gea amesisitiza kwamba anajisikia vizuri kuliko wakati mwingine wowote, kwa kuuanza msimu muhimu katika soka lake akiwa Manchester United.
Mhispania huyo wa kimataifa amekuwa katika hali ya kuchunguzwa kufuatia kuwa na kiwango kisichoridhisha kwa kufanya makosa yaliyo igharimu timu, kwa sasa nafasi yake itakuwa na ushindani baada ya Dean Henderson aliyekuwa Sheffield United kwa mkopo kurejea Old Traford na kusaini dili ya muda mrefu.
Henderson ameonesha kiwango kizuri katika mchezo wa EFL Cup katika mji wa Luton Town wiki hii lakini De Gea ataendelea kuwa golikipa namba moja kuelekea mchezo wa Premier League dhidi ya Brighton and Hove Albion.
“Yeah labda watu wamesahau kwamba mimi bado ni kijana kwa sababu nimekuwa nikicheza mara nyingi tangu nikiwa mdogo,labda kwa sasa najihisi ni golikipa bora katika soka langu,” De Gea mwenye umri wa miaka 29 alisema kwenye MUTV.
“Njihisi mwenye kujiamini sana nina mtizamo chanya hicho ndiyo kitu muhimu sana kwangu.
“Ni jambo kubwa mimi kuendelea kufanya mazoezi hapa nikiwa na walimu pamoja na magolikipa wenzangu, tunajaribu kufundishana na kusukuma gurudumu pamoja.
Wakiwa bado wana maumivu ya kichapo cha 3-1 dhidi ya Crystal Palace wakiwa katika dimba la Old Trafford kwenye Premier League,Man United wanajaindaa kuwakabili Brighton ambao tayari wamejikusanyia alama 3 katika michezo miwili ya Premier League.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


magdalena
de gea katika udakaji wa mpira yupo vizuri ila tatizo wakati mwingine huwa anatuangusha sana
Zeiyana
Me naona utakua mwisho wa lawama kwa de gea pia kutakua na ushindani mkubwa baina yeye na kipa mwenzake
Gabriel
De gea anataka kuondoka sema wanamng’ang’ania man u
Sauda
Ameanza msimu vizuri, hongera yake..
Mwajumah
Inaonekana David alikua anapenda sana kuwa man United kwa mda mrefu ndio Mana sasa anafurahia kuanza msimu akiwa apo
Ernest
De Gea angejuwa jinsi mashabiki wa Manchester wanavyomchukulia nadhani asingekuwa katika hali kama hii, Ni wakati wake umefika kuona Man U watafanya nini Bila yeye, Kwangu De Gea amekuwa msaada mkubwa sana Man U.
aisha
Safi sana kwa kuongea kile anachokiona big up de gea
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali De Gea yupo vizuri anajua kipa wa ma kipa
Hopemwaikuka
Ni vzur
Adelta
Asante kwa taarifa
Elika
Hongera sana kwake
Shan
Kheri kwake
Khadija
Asante kwa nakala
Ester jackson
Man u muachieni de gea asepe lazivyo kila siku mtakuwa mnalia kama Chelsea
Venerose
De gea yupo vinzur sana
Nasra
Yuko vzuri Sana
Caroline
De Gea anaipenda Man u
Dorophina
De gea yupo vizuri sana akiwa golini
Sabrina
De Gea anaipenda man u
Neema
De Gea yuko vzr sana
Rose kapinga
Kazi nzuri
Janeflora malisa
Vzr sna
Issa
De gea mikono 100
Zahara omary
Vizur snaa
Samiah
Safi sanaaa
Flomena
Big up De Gea
Tumaini kasalile
Nice
felister
sijui kwanini man u wanamng’ang’ania de gea
Nasra
Gud
Saupha mohamed
Safi sana
Tatu
Asante kwa taarifa
Amiri Kayera
Aongez kiwango
Latifa juma mohamed
Nice
David Pere
De gea anataka kuondoka sema wanamng’ang’ania man u
Mnongane JR
Kipa Bora kwa Sasa devid Gea
Povel
Dea gea hawe makini hakizubaah tu inakula kwake