Ofa ya Mwisho ya Man United kwa Sancho

Man United wamekuwa wakimfukuzia Jadon Sancho wa Borrusia Dortmund kwa kipindi chote cha dirisha hili la usajili huku kukiwa na kupishana katika mazungumzo kati ya klabu inayomnunua na inayomuuza.

Tarifa zinaripoti kuwa kuna maendeleo mapya katika mazungumzo ya kuipata saini ya nyota huyu. Manchester United wanajiandaa kuwasilisha ofa yao ya mwisho kwa Sancho wiki ijayo inayotajwa kuwa na thamani ya £75m pamoja na zidada ya £15m kama ilivyoripotiwa na Daily Star.

Jadon Sancho -Man United

Saini ya Sancho imekuwa gharama na imechukua mda mwingi wa Man United sokoni. United wakiwa wanatazamia kuboresha safu yao ya ushambuliaji, Sancho alikuwa ndiye kipaumbele cha Ole Gunnar Solskjaer katika mpango wake.

Dortmund walisitiza kuwa walikuwa tayari kutomuachia Sancho kwenye dirisha hili kama wanunuzi wasingekubali dau la awali hadi Agosti 10. Hata hivyo mazungumzo kati ya klabu mbili yaliendelea na kwa mujibu wa Daily Star ni kuwa klabu ipo tayari kuwakilisha ofa ambayo watamlipa Sancho mshahara wa £175,000 kwa wiki.

Makubaliano ya awali na mchezaji mwenyewe yanatajwa kukamilika na sasa Ed Woodward ataiwasilisha ofa ya Man United ya mwisho wiki ijayo.

 


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

38 Komentara

    Sasa Man u wanamtaka wakamuue kipaji au akawasaidie?Ole hana chakunsaidia Sancho kwa aina ya ufundishaji wake

    Jibu

    Itakuwa poa Sana Man U wakipata Sain ya Sancho yupo vizuri dogo Man msikwame Sasa kwauyo dogo

    Jibu

    united wamekuwa wagumu wa kukata tamaa juu ya mwamba sancho

    Jibu

    Sancho anamchango mkubwa kuliko hiyo ofa yao

    Jibu

    Man u wakipata saini ya Sancho itakua poa sana

    Jibu

    Sidhani kama Sancho ataweza kuondoka Dortumnd

    Jibu

    Man u ni muda wenu sasa mumchukue Sancho labda anaweza kuongeza ladha uwanjani

    Jibu

    Man u macho yao yote kwa Sancho tu lakini kwa ali hinavyo honesha hinaonekana kabic uwongozi wa Dortmound hawataki kumuuza Sancho wanapoteza mda tu

    Jibu

    Man u watafanya kila jitihada ili kumpata sancho

    Jibu

    Sancho baki hapo hapo

    Jibu

    Man u wanamfukuzia sana Sancho tatizo wabahir sana

    Jibu

    Sancho hawezi kuondoka dortmund maana amekunywa maji ya bendera ya tim

    Jibu

    Usisepe sancho

    Jibu

    Sancho jeshi

    Jibu

    Sancho kuondoka dotmund itakuwa ngumu

    Jibu

    Kijana yuko vzuri

    Jibu

    Itakua ngumu kwa sancho

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Man u waache kuchungulia mfuko watoe ela

    Jibu

    Sancho angalia wapi kwenye maslai manzur

    Jibu

    Man u hawakati tamaa kwa Sancho

    Jibu

    Sancho jembeee kwahy anajua wapi pakwenda na wapi pakutokwenda

    Jibu

    Saini ya Sancho imeuteka Ulimwengu kama vipi Man United wafikirie plan B.

    Jibu

    Sancho yuko vizuri

    Jibu

    Mambo mazur

    Jibu

    Man ni pahala sahh kwako

    Jibu

    Sancho yuko vizur

    Jibu

    Yupo vzr Sancho

    Jibu

    Kijana Yuko vizuri anajielewa

    Jibu

    Man utd wanamng’ang’ania Sancho Kama atacheza peke yake Kwenye kilos Kama clabu inamuwekea vikwazo watafute mshambuliaji mwingine Mbona wengi tu

    Jibu

    Kijan yupo vizur

    Jibu

    Sancho kuondoka Dortmund hicho kitu man wasahau

    Jibu

    Sancho yupo vizuri

    Jibu

    Nadhani Man U inatakiwa kuweka nguvu kwa wachezaji waliopo na kama ni kununua basi anunuliwe beki#meridianbettz

    Jibu

    Man u wanapg pesa t naona

    Jibu

    Sancho anamchango mkubwa kuliko hiyo ofa yao, kwa upande mwngn hawana haja ya kumng’ang’ania kwani atacheza peke yake kikosini watafute mwngn.

    Jibu

    Sasa Man u wanamtaka wakamuue kipaji au akawasaidie?Ole hana chakunsaidia Sancho kwa aina ya ufundishaji wake

    Jibu

    United watu wa romance sana

    Jibu

Acha ujumbe