Katika Dunia ya sasa Mesut Ozil huwezi kumuacha nnje ya kikosi cha kwanza labda uwe kipofu kabisa kiasi cha kuto ona Juhudi aliyo nayo anapokua uwanjani, Ila kwa Mikel, Mesut Ozil si kitu na hafikirii kumuweka chaguo lake la kwanza kwenye kikochi cha washika bunduki, Arsenal

Ni kwa muda sasa Mesut Ozil haonekani kwenye Kikosi cha kwanza cha timu ya Arsenal ingawa kwa mashabiki bado Ozil anahitajika, Siku za karibuni Ozil ametajwa kurejea kwenye Ligi za Nchini Uturuki ambapo kiuhasilia ndiko nchini kwao kwakua Ujerumani ni sehemu ambayo miaka kadhaa iliyopita wazazi wake walihamia.
Rekodi za Mesut Ozil ndani ya Arsenal
Mchezaji ambaye bado yupo kwenye timu hiyo mwenye pasi nyingi za mwisho zilizosababisha magoli (Assit) Mesut Ozil ameambiwa na kocha wake kuwa ni ngumu kurejea kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo baada ya kuachwa nje ya kikosi hicho kwa mechi nne mfululizo.

Arteta amesema ni ngumu kumeza sio kwa Ozil pekee hata wachezaji wengine kwakua kila wiki yeye huchagua timu nzuri ya kushindana.
Hapo awali Ozil alikuwa anahusishwa kurejea kwao Uturuki lakini sasa pengine safari itakuwa njiani kabisa tusubiri.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Ester jackson
Ozil msimu huu umemuendea kombo kwanza kiwango cha uchezaji wake kimeshuka sana na nilazima kocha amuweke kwenye dk za ulale salama kama akijituma kama awali nafikiri atapewa nafasi ya juu
Sabrina
Mesut Ozil anajua mpira ila kiwango chake kinashuka kwasababu hapsngwi kikosini km ilivyokua mara ya kwanza
Neema
Ozil unayumba wapi sasaa. Mazoezi yanahitajika.
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
aisha
Ozil unakwama wapi mbina kama unataka kupoteza kipaji chako
Hopemwaikuka
Duh
Issa
Hana chake asepe tu akasake timu
Zahara omary
Hatr
Flomena
Hatari sana
Mwajumah
Duuh atari sana
Tumaini kasalile
Bora atafute Timi nyingine asernal wanammaliza
Fatina mfigi
Duuh majanga!!
felister
kama vipi aende timu nyengine
Nasra
Hali ishakuwa mbaya
Caroline
Ina maana Ozil ameshuka kiwango au
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Ozil sio mtu wakusugua benchi ila yakimzidi haangalie masilai pengine asepe tuu
Tatu
Arteta alichokifanya sio kizuri kitendo cha kumuweka mchezaji bechi kiwango chake cha kucheza kinashuka
Adelta
Mhmh
Saupha mohamed
Ozil vipi tRNA mbona unaniangusha
Gabriel
Ozil uchezaji wake kimeshuka sana na nilazima kocha amuweke kwenye dk za ulale salama kama akijituma kama awali nafikiri atapewa nafasi ya juu
Shani
Ozil ajipange akachez soka pahal pengine
Amiri Kayera
Ozil Leo ana nafax arsenal
Samiah
Ajipange Ozil
Latifa juma mohamed
Hapo awali Ozil alikuwa anahusishwa kurejea kwao Uturuki lakini sasa pengine safari itakuwa njiani kabisa tusubiri.
David Pere
Ozil msimu huu umemuendea kombo kwanza kiwango cha uchezaji wake kimeshuka sana na nilazima kocha amuweke kwenye dk za ulale salama kama akijituma kama awali nafikiri atapewa nafasi ya juu
magdalena
arsenal wanampa wakati mdogo sana wa kucheza itampelekea ata uwezo wake katika uchezaji kushuka
Povel
Ozil atafute timu ya kucheza msimu huuu