NYOTA wa Tanzania, Mbwana Samatta muda mfupi baada ya kuibukia ndani ya Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki kwa mkopo akitokea Klabu ya Aston Villa ameanza kupiga matizi na wachezaji wenzake ndai ya kikosi chake kipya.

Samatta ameandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu England na kufunga bao pia baada ya kuibukia huko akitokea Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.
Alisaini dili la miaka minne ndani ya Astov Villa ambayo iliponea chupuchupu kushuka daraja kwa msimu wa 2019/20.
Klabu ya Aston Villa imemuaga nyota huyo kupitia ukurasa wao wa Instagram kwa inamtakia kila la kheri kwenye maisha yake mapya.
Mchezaji huyo aliyeshinda taji la mfungaji bora mara kadhaa nchini Ubelgiji kabla ya kujiunga na Aston Villa nchini Uingereza atahudumu katika klabu hiyo kwa mkopo wa mwaka mmoja kabla ya kuandikisha kandarasi ya kudumu ya miaka minne.
Samatta amesema kuwa anafurahia maisha yake mapya na anawashukuru Aston Villa kwa kumpa nafasi ya kucheza kwenye ligi ya ndoto yake.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Fatina
Safi samtta fanya maajabu uko!
felister
kila la kheri samatta kapeperushe🇹🇿
Nasra
Kila la kheri
Zeiyana
Samatta faenrbahce ndio maala pake Aston villa palikua na ubaguzi sana tunategemea kuona maajabu zaidi ya pale
Caroline
All the best Samatta..
Fatina
Safiii
Sadick
Kila la kheri kwa Samatta ktk timu mpya#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Kila La kheri jembe apo naona pata kufaa nautaupiga mpila kule ubaguzi mwingi Sam pambana jembe utafika unapo pataka
Adelta
Samatta Kila la kheri kwenye klabu mpya
Antony Luseno
Wengi walitarajia kuendelea kumwona EPL lakini mambo yameenda ndivyo sivyo
Shafii
Kila lakher mtanzania mwenzetu.
aisha
Watanzania tunakutegemea samata endelea kupeperusha bendera ya Tanzania
Saupha mohamed
Kila la kheri jembe
Khadija
Samatta namkubali sana
Tatu
Sammata fanya kazi yako hatua moja mbele songa hakuna kugeuka nyumba
Mwajumah
Hongera sana samatta kaza buti uko uendako
Agness
Kila lakheri home boy
Venerose
Kapige kazi uonyeshe uwezo wako
Shani
Samagoal labda uturuki atakua kwenye ubora tena
Hopemwaikuka
Kaz kaz samagoal
Elika
Safi sana sama goo.tuko nyuma yako
Hidaya
Samatta Unazidi kuipeperusha vyema bendera ya tanzania
Amiri Kayera
Naamin atakiwasha San fenarbache
Gabriel
Kila la kheri
lombo
popote kambi
Rehema
Iko sawa
Ernest
Ulipo tupo Captain, All the Best
Issa
Sama goal iz back
David Pere
Samatta ameandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu England na kufunga bao pia baada ya kuibukia huko akitokea Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.
Rose kapinga
Pongezi kwako tuwakilishe vyema watanzania kwa ushindi wa kishindo!!
Sabrina
Piga kazi piga kazi samata umehamia fenerbahce na watanzania tuko pamoja na ww tumehamia uko uko
Mnongane JR
Hainakufeli 🇹🇿🇹🇿
magdalena
samatta tunasubiri kuona maajabu yako zaidi kama tuliokuwa tunayaona kipindi upo genk nakuaminia kijana
Dorophina
Mwamba sama goal mashabiki zako tunasubilia maajabu yako
Povel
Kila la kheri champion boi +255