Arteta Aukubali Mziki wa Leno

Mikel Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa kia wake namba moja Bernd Leno alionyesha kiwango cha hali ya juu kwenye mchezo wa Carabao Cup uliochezwa usiku wa kuamkia leo dhidi ya Liverpool.

Mchezo huo wa raundi ya 16 uliopigwa Uwanja wa Anfield dakika 90 zilikamilika bila kufungana na kupelekea kupigwa mikwaju ya penalti ambapo Arsenal ilishinda kwa penalti 5-4 za Liverpool.

Ushindi huo unakuwa wa pili kwa Arsenal kuishinda Liverpool kwa penalti baada ya mwezi mmoja kupita kwani ilisepa na taji la Ngao ya Jamii mwezi Agosti kwa ushindi wa Penalti 5-4.

Arteta amesema kuwa wana makipa wawili wazuri na wanaofanya kazi kwa umakini ndani ya Uwanja jambo ambalo linampa matumaini ya kufanya vizuri hatua inayofuata ambayo ni robo fainali na atakutana na Manchester City.

“Tuna makipa wawili wazuri ndani ya kikosi, wote wawili wanafanya vizuri ni suala la kufanya maamuzi nani nahitaji aanze. Leno amekuwa akitimiza majukumu yake vizuri ana kazi ya kuendelea hapo zaidi,” amesema.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

22 Komentara

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Leno beno alikuwah kwny ubora mkubwa Sana kwny mchezo wa jana cleen sheet Kama zote pongez kwake

    Jibu

    Arsenal haijawahi kuwa na Golikipa mbovu,siku zote husajiri makipa wenye kiwango cha juu cha uwezo wa kulinda lango#meridianbettz

    Jibu

    Arsenal imepata kipa mzuri sana huyu arteta amtumie vizur

    Jibu

    Kipa mzuri sna na arteta ampe nafasi

    Jibu

    Lazima aelewe tu

    Jibu

    Leno mashine nyengine

    Jibu

    leno alionesha uwezo wake wa hali ya juu balaa arteta kuukubali ni lazima maana ulikuwa si wa kitoto

    Jibu

    Leno Ni kipa mzuri sana ameisaidia arsenal kupata ushindi kwa kishindo tena kwa penalty

    Jibu

    Leno anajua sana

    Jibu

    Leno namkubali sana

    Jibu

    Kwa mechi ya Juzi Leno alikuwa vizuri sana kwenye LANGO na kuibeba Arsenal adi katika hatua za matuta, Ngoja tuone kama ataendeleza moto wake.

    Jibu

    Huyo leno mechi ya juzi alibahatisha tuu…aongeze juhudi na mazoezi zaidi

    Jibu

    Leno aongeze juhudi ktk kazi

    Jibu

    Leno yupo vizuri

    Jibu

    hongereni arsenal

    Jibu

    Kipa bora sana arsenal hawajawai kuwa na kipa mbovu hata siku moja

    Jibu

    Leno yupo kweny kiwango kizur san

    Jibu

    Leno yupo vizuri

    Jibu

    Leno ni Kipa bora sana arsenal

    Jibu

    Arsenal haijawahi kuwa na Golikipa mbovu,siku zote husajiri makipa wenye kiwango cha juu cha uwezo wa kulinda lango

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.