Man United: Hali Mbaya Kwenye Usajili

Zikiwa zimesalia siku 3 dirisha la usajili kwa wachezaji wa kimataifa kufungwa nchini Uingereza, Man United bado hali ni mbaya sana ikilinganishwa na timu zingine za EPL.

Mpaka sasa, Man United wamemsajili mchezaji 1 pekee na hakuna dalili ya kuongeza msajili yeyote japo kuwa taarifa zimekuwa nyingi wakihusishwa na wachezaji mbalimbali – Jadon Sancho, Alex Telles, Ousmane Dembele na Ismaila Sarr ni kati ya majina yanayotajwa sana.

Katika mazungumzo na waandishi wa habari kuelekea mchezo dhidi ya Tottenham, Ole Gunnar Solskjaer amenukuliwa akisema, “klabu inajua ninachokitaka”

“Dirisha la usajili bado lipo wazi kwa muda, kama kutakua na taarifa yoyote tutawataarifu. Kuna namna mbalimbali za kuboresha kikosi. Bado ninawaangalia wachezaji wanaotakiwa kucheza kuliko wasiotakiwa kucheza.

“Hii inaniambia nina kikosi imara, kuna ushindani wa nafasi. Tunahitaji matokeo, hiyo ndio njia pekee ya kuleta morali kwa wachezaji na wafanyakazi.”

Man United watakuwa na mwezi mgumu wakikabiliwa na michezo ya EPL na UEFA ndani ya mwezi mmoja.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

29 Komentara

    United wamekuwah watu wa romance natumain kwa mwendo huu sidhan Kama watawez fany usajil kwny 3 day zilizo baki kabla ya kufungwa dilisha la usajil

    Jibu

    Man u kwa hao wachezaji hawawezi kuwasajili kwa msimu huu

    Jibu

    Man u awana wachezaji msimu huu

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Manchester wanatakiwa wafanye usajili mpya

    Jibu

    Man U nao Wana yumba wapi mbona wamelala Sana Game kwao inakuwa imezubaa Sana usajili unawashinda Basi wa malizie ili dilisha mwisho mwisho

    Jibu

    Ed Woodward anatakiwa kuvunja kibubu muda sio rafiki

    Jibu

    Mwezi mgumu sana kwa Man U, inabidi wajipange sana tu…

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Man U ina wachezaji bora kbs lkn bado hakujawa na muunganiko mzr wa kucheza kitimu kwa muda mrefu zaidi#meridianbettz

    Jibu

    United intakiw ifanye usaji ili ipambane zaid

    Jibu

    United inaongea ongea tu watu wanatak usajili

    Jibu

    Man u wanayumbaaa

    Jibu

    Jamanii

    Jibu

    united tatizo inakwamiswa na yule kivuruge sijui kwanini hawamuondoi

    Jibu

    Man u msimu huu wamezingua sana

    Jibu

    Man u wana kikosi kipana na wachezaji wazuri wao kama wao wanajitosheleza

    Jibu

    Mbona man wako vizur kwa wachezaji wao shida nn tena!

    Jibu

    Man u wajipange zaidi

    Jibu

    Man u wanakwama wapii

    Jibu

    man u wanatakiwa wajipange upya

    Jibu

    Man u wasipo kazana kwenye usajiri tusubiri tu kuwaona wakishuka daraja maana hawana kikosi kizuri cha kupambana zidi ya wapinzani wao

    Jibu

    Man U wamekua c watu wavitendo

    Jibu

    Kwa muktadha huo man u watakuwa na msimu mgumu.

    Jibu

    Man u inabidi wajipange

    Jibu

    Man u cjui wanafel wap

    Jibu

    Man united mnakwama wapi kwani

    Jibu

    United wamekuwah watu wa romance natumain kwa mwendo huu sidhan Kama watawez fany usajil kwny 3 day zilizo baki kabla ya kufungwa dilisha la usajil

    Jibu

    Mnafeli wp Man

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.