Mchezaji wa Levante Jose Campana ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Hispania, wakati Dani Ceballos na Sergio Caanales wakirejea kwenye timu.
Timu hiyo ambayo inanolewa na mwalimu Luis Enrique itacheza mchezo wa kirafiki Oktoba 7 dhidi ya Ureno kabla michuano ya Nations League haijarejea na watacheza dhidi ya Switzerland na Ukraine wakiwa wanalengo la kuongeza alama moja ili wake juu katika kundi lao.

Kuna mabadiliko matatu yamefanyika katika kikosi cha Spain mwanzoni mwezi Septemba ilitangazwa kuwa Thiago Alcantara hatokuwepo baada ya kuambukizwa virusi vya Corona.
Marco Asensio ni majeruhi, wakati Oscar Rodriguez alicheza dakika 25 pekee katika timu ya Sevilla tangu ajiunge akitokea Real Madrid mwezi uliyopita hii imetengeneza fursa kwa Campana, Ceballos na Canales kuitwa kikosini.
Mikel Oyarzabal na Adama Traore wametajwa katika kikosi cha watu 25 kwa mara nyingine mwanzo walilazimika kubadilishwa baada ya kukutwa na maambukizi ya COVID-19.
Hii ni mara ya tatu kwa winga huyo wa Wolves kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa, na mshambuliaji wa Celta Vigo aliyeitwa mara 18 Iago Aspas hajaitwa licha ya kuuanza msimu mpya wa LaLiga kwa kufunga mara tatu katika mechi nne.
Kikosi kizima cha Spain:
David de Gea (Manchester United), Kepa Arrizabalaga (Chelsea), Unai Simon (Athletic Bilbao); Jesus Navas (Sevilla), Dani Carvajal (Real Madrid), Sergio Ramos (Real Madrid), Pau Torres (Villarreal), Diego Llorente (Leeds United), Jose Gaya (Valencia), Sergio Reguilon (Tottenham), Eric Garcia (Manchester City); Fabian Ruiz (Napoli), Sergio Busquets (Barcelona), Dani Ceballos (Arsenal), Sergio Canales (Real Betis), Jose Campana (Levante), Rodri (Manchester City), Mikel Merino (Real Sociedad), Dani Olmo (RB Leipzig); Rodrigo Moreno (Leeds United), Mikel Oyarzabal (Real Sociedad), Adama Traore (Wolves), Ansu Fati (Barcelona), Ferran Torres (Manchester City).
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


magdalena
nenda kijana kapige kazi maisha popote
Zeiyana
UEFA ligi msimu huu patakua hapatoshi
Sauda
Popote kambi, kaza buti
Mwajumah
Mambo yanazidi kunoga UEFA msimu huu
Lydia Emmanuel Magoti
Piga kazi kijana maisha popote panapo kufaa ndipo upahonapo pazuli husalia apo apo
Zuhura omary kindamba
Mambo yatakua mazuri UEFA msimu huu
Dorophina
UEFA imepamba moto vikosi kama vyote
Juliana Alex
Kambi popote
Adelta
Kijana nenda kafanye kazi kikubwa maslai
Povel
Kikos can SPAIN mature wengi Sana naona kocha analengo la kutengenezah timu upya
Saupha mohamed
Piga kazi kijana kambi popote
Shani
Spain ina Kikosi bora sna
Nasra
Spain naipnda
Caroline
Wanaimarisha timu hao
Tatu
Kikosi cha spain kiko imara
Mwanahamisi
Popote kambi
Fatina mfigi
Spain timu yangu pendwa
Ernest
Spain wapo vizuri sana
lombo
habar njema
Shani
Kikosi bora sna
Issa
Kikosi bora sana
Sabrina
Sio mbaya piga kazi
Hopemwaikuka
Kaz kaz
Angelina
Spain nawaaminia
Fatina
Spain nawakubali sanaa
felister
maisha popote
Amiri Kayera
Spain inakikos kipana
Latifa juma mohamed
Kambi popote.
Gabriel
Spain wapo vizuri sana
David Pere
Piga kazi kijana maisha popote panapo kufaa ndipo upahonapo pazuli husalia apo apo
Samiah
Safi