Kiungo wa Chelsea, Tiemoue Bakayoko ameibuka kuwa kipaumbele cha klabu ya Napoli katika dakika za lala salama za dirisha la uhamisho.
Taarifa zinasema kuwa klabu ya Chelsea ipo tayari kumumuacha nyota huyu aondoke kwa mkopo, huku kukiwa na sharti la kumnunua.
Meneja wa Napoli, Gennaro Gattuso anaisaka saini ya staa huyu akiamini anaweza kumtumia vyema kwenye mfumo anaotaka kuutumia wa 4-2-3-1. Gattuso anamfahamu vyema Bakayoko na alishawahi kumfundisha pale Milan, anaamini kuwa ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo kwa mujibu wa Sports Italia.
kwa mujibu wa Sportitalia, Hertha Berlin na Paris Saint-Germain ni klabu zingine zinazounga tela kufukuzia saini ya kiungo huyu.
Taarifa zinasema kuwa nyota huyu mwenye miaka 26 yupo tayari kurejea Italia, kukipiga Serie A chini ya meneja wake wa zamani Gattuso.
Napoli wanaweza kukamilisha uhamisho wa nyota huyu mapema baada ya Arkadiusz Milik kuondoka klabuni hapo, akiwa anahusishwa na kuhamia Fiorentina kwa mkopo wenye thamani ya euro milioni 5 na chaguo la sharti la kumnunua kwa euro milioni 25.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Tatu
Napoli watakuwa wamepata mchezaji mzuri tiemoue bakayoko
magdalena
napol kama wana dau zuri wamnyakue tu mwamba yupo vizuri
Cathe
Wamchukue huyu Yuko fresh
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana Kama Napoli wame tiania kumchukua kijana huyo anajua
Janeflora malisa
🔥
Fatina mfigi
Ni mchezaji mzur napoli wamchukue
Zuhura omary kindamba
Watakua wapo sahihi wakimchukua uyu kijana
Khadija
mchezaji mahili napoli wamchukue
Dorophina
Bakayoko is talent player kwenda Napoli itakuwa big deal
Hopemwaikuka
Mshakaj namkubal na anajua sanaa
Elika
Yuko vizur sana huyu mchezaji
Caroline
Bakayoko yupo vizuri
Rehema
Yuko poa
Mwanahamisi
Yuko vizuri
aisha
Napoli kazeni wanangu hapo hapo ili mumpate
Venerose
Safi sana
Nasra
Gud
Neema
Yuko vzr sana kijana wamchukue
Zeiyana
Bakoyoko yupo sehemu sahii
Sauda
Napoli chukueni jembe hilo
Mwajumah
Wamchukue tu maana ni mchezaji mzuri sana
Juliana Alex
Anajua
Adelta
Yuko vizuri wamchukuwe tu
Povel
Fc NAPOLI wanajambo lao msimu huu
Saupha mohamed
Yupo vizuri wakimchukua itakua vizuri
Shani
Napoli safi kumchukua huyu kiungo anafaa kuwasaidia
Sadick
Usajiri wa Bakayoko na wengine ulisababisha ugomvi kati aliyakuwa Meneja wa Chelsea, Antonio Conte na Bodi ya Chelsea mwisho wa siku alishindwa kuwa msaada kwa timu na kusajiriwa kwa mkopo AC Milan#meridianbettz
Ernest
Itatuwa pouwa sana kama Tiemoue Bakayoko atapata timu Chelsea naona wanamzingua tuu
lombo
saf
Issa
Napoli imchukue kiungohuyu
Sabrina
Ni mchezaji makini sana
Angelina
Bakayoko anafanya vizuri sana
Amiri Kayera
Safii
Gabriel
mchezaji mzuri tiemoue bakayoko
David Pere
Vizuri Sana Kama Napoli wame tiania kumchukua kijana huyo anajua