Atalanta na Liverpool wanakutana tena kwenye kundi moja katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anasema Atalanta wako vizuri ‘wamekuwa na kampeni ya kuvutia’.
Atalanta wamerejea kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya pili, baada ya kufikia hatua ya robo fainali msimu uliopita 2019-20.
Atalanta anaenda kuumana na bingwa wa 2018-19 kwenye kundi D.
Klopp anasema kundi lake limewakutanisha mafundi wa soka, Atalanta wanastahili na anatarajia mpira mwingi utapigwa kwenye kundi hilo analolitaja kuwa gumu.
Maneno ya Klopp juu ya Kundi D
“Ni kundi gumu, kila mmoja anaelewa namna Ajax walivyokuwa wazuri miaka miwili iliyopita, wakati wote huwa wanatengeneza kikosi kipya na makini”
“Atalanta wamekuwa na mradi mzuri sana, wanacheza vizuri sana pia. Ni kundi sahihi, timu zote zinakimbia sana, mchezo utakuwa mzuri.”
Timu zinazokamilisha kundi hili ni Liverpool, Ajax, Atalanta na Midtjylland. Midtjylland anaweza kuwa na kiunzi kirefu zaidi kuruka kwenye hatua ya makundi.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


magdalena
atalanta naona wamejipanga zaidi ila klopp anabidi awe makini sana
Sauda
Klopp yupo sahihi kabisa
Angelina
Ni kweli atalanta wanafanya vizuri
Mwanahamisi
Klopp yupo sahihi
Ernest
Kama Atalanta wataendelea kuwa bora kama msimu uliopita basi Klopp yupo sahihi kutakuwa na upinzani mkubwa sana kutoka kwao
Dorophina
Klopp mbona anaonyesha udhaifu wake kwa wapinzani inatakiwa kuandaa kikosi kizuri kama kocha
Fatina
Klopp yuko vizur sana
Adelta
Klopp Yuko makini Ila kwa sasa inabidi aongeze juhudi
Lydia Emmanuel Magoti
Klopp naona huoga unamuaza kwa atalanta ndio mjipange Sasa kupiga mchezo huo
Elika
Klopp yuko makini kiukweli kaeleweka
Zeiyana
Klopp yupo sahii kama Atlanta wataendelea na uzi huo huo bac Liverpool wajiandae hipasavyo kwa wapinzani wao
Nasra
Klop anaeleweka sana
Caroline
Kweli kabisa klopp hajadanganyaa
Shani
Klopp asema kweli
Mwajumah
Klopp yupo vizuri sana
felister
klopp yupo sahihi
Venerose
Ni kweli kabisa
Hopemwaikuka
Eeh hapo inabd mpambane tu
Issa
Kloop anajua moto wa hawa watu awafai ajipange sana
aisha
Kloop mtu mbaya
Povel
Klopp yupo sahihi huwez kumzarau mpnzan wako kabla ujacheza naye
Amiri Kayera
Atalanta kwer wapo vzur san
Rehema
Klopp yuko sahihi
Saupha mohamed
Klopp yupo vizur
Gabriel
Klopp yupo sahihi kabisa
Rose kapinga
Maneno hayooo
Sabrina
Ni kweli
David Pere
Kama Atalanta wataendelea kuwa bora kama msimu uliopita basi Klopp yupo sahihi kutakuwa na upinzani mkubwa sana kutoka kwao