Kiungo wa Ufaransa na Manchester United, Paul Pogba ameelezea dhamira yake ya kukichezea kikosi cha Real Madrid ya Uhispania katika press ya timu ya taifa.
“Wachezaji wote wa soka wanatamani kucheza Real Madrid , ni ndoto kwangu mimi, kwanini isiwe siku moja ? ” alisema mchezaji huyo
“Nipo Manchester , naipenda klabu yangu, nacheza Manchester , nafurahia kuwa hapa, nafanya kila niwezalo kuirejesha klabu pale inapostahili , nitajitoa kwa asilimia zote kama wachezaji wenzangu.” aliongeza Pogba
Pogba amekuwa akishutumiwa vikali kutokana na tabia yake ya kukosa nidhamu na kushindwa kujitolea kwaajili ya timu hasa pale inapofanya vibaya.
Ikumbukwe hii si mara ya kwanza Pogba kutaka kuondoka, msimu uliopita alilazimisha kuondokaa na hatimaye alikaa nje kwa takribani miezi miwili na kushindwa kukisaidia kikosi cha United baada ya kupata majeraha ya goti.
Paul Labile ni moja ya wachezaji wanaolipwa mshahara mrefu zaidi pale Old traford akiwa anatia kibindoni kiasi cha £290,000 kwa wiki.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!
Zeiyana
Ni mahamuzi yake mtu kufanya kitu hanacho kipenda safi sana pogba pigania ndoto yako nipo siku hitakamilika
Lydia Emmanuel Magoti
Pogba yupo sahii anacho kisema nikweli anaipenda Sana timu yake Man U ila ndoto zake zinavyo muonesha kutimiza malengo kuecheze madrid ilangoja tuone zamila ya Pogba Kama itakuwa kweli kuichezea madrid
Tatu
Pogba anatafuta njia y’all kuondoka man u
Fatina mfigi
Ni Jambo zuri maan unapigania ndoto yako na nivizur kufanya kitu moyo unapendaa
Dorophina
Akipata chance hiyo sijui itakuwaje madrid wakikutana na vichwa vya huko
Mwanahamisi
Ni mahamuzi yake mtu kufanya kitu anachokipenda
Samiah
Duuuh
Janeflora malisa
Saf
magdalena
pogba sasa naona na yeye antafuta sababu za kuikimbia united
Rose kapinga
Kila la kher kwenye kutimiza ndoto yako
Sauda
Kaza buti utimize ndoto
Venerose
Mmmh
Adelta
Pogba Yuko sahii ili kutimiza ndoto zake
Caroline
Pogba mtu mbad
Nasra
Pogba nae atulie tu
Mwajumah
Duuh ila jitume tu na ukaze buti pogba
felister
kila la kheri kwenye kutimiza ndoto zako
Shani
Pabile ni shida sana
Ernest
Kuna wakati mchache sana kwa Pogba kutimiza ndoto yake
Saupha mohamed
Pogba ajipange
Angelina
Kambi popote
Fatuma kasomo
Safi
Issa
Kiwango kimeisha zidane alikua anmuhitaj lakin kwa sasa uwezo hamna
Povel
Kila la kheri
Hopemwaikuka
Itakua poa tu
Rehema
Kila la kheri
Sabrina
Itakua poa sana akitua madrisy
aisha
Pogba acha utoto utilie hapo ulipo
Amiri Kayera
Jitihada muhim atafk
latifa juma mohamed
Vizuri
Gabriel
Pogba anatafuta njia ni kweli anaipenda Sana timu yake Man U ila ndoto zake zinavyo muonesha kutimiza malengo kuecheze madrid