Nyota ya Calvert-Lewin Yazidi Kung'aa.

Dominic Calvert-Lewin ndiyo jina halisi la straika wa klabu ya Everton na timu ya taifa ya Uingereza ambaye amekuwa na moto tangu kuanza kwa msimu mpya katika Premier League, lakini kasi hiyo haijaishia katika klabu bali ameendelea kuuwasha moto hata katika timu ya taifa.

Siku ya Alhamisi England waliikaribisha Wales katika dimba la Wembley kwa mchezo wa kirafiki, Calvert-Lewin alicheza mchezo wake wa kwanza katika timu ya taifa na kufunga goli la kichwa kipindi cha kwanza cha mchezo na kufanya afikishe goli namba 10 msimu huu katika michezo saba kwa klabu na timu ya taifa.

Nyota ya Calvert-Lewin Yazidi Kung'aa.
Straika, Dominic Calvert-Lewin

Conor Coady na Danny Ings pia walisherehekea magoli yao ya kwanza kwa timu ya taifa mchezo ambao Southgate aliwapa fursa wachezaji wapya na kufanya kikosi cha England kuwa na wachezaji wengi wasio na uzoefu kwenye mechi ya kimataifa tangu mwaka 1980.

Kocha mkuu wa timu ya England Gareth Southgate alipoulizwa kuhusu kiwango alichokionesha Calvert-Lewin, aliiambia ITV: “Yeah, yupo vizuri, nadhani yupo sawa sana.

Mchezaji wa Aston Villa Jack Grealish alicheza kwa mara ya kwanza kwa kuanza na kuzalisha asisti nzuri kwa Calvert-Lewin katika mechi hiyo.

Southgate pia aliulizwa kuhusu kiwango cha Jack Grealish na kama atakuwa katika mipango yake katika kikosi cha England, alisema: “Nadhani shughuli aliyoionesha kila mtu ameiona alikuwa vizuri sana.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

32 Komentara

    Good news 👍

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    safi sana anafanya jitihada kali sana acha nyota izidi kungaaa

    Jibu

    Hanakuja kwa kasi ya 4g clavert

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Pongezi kwako ndo ukaze buti isije kufifia!

    Jibu

    Lewin yupo vizuri sana anajua kujituma katika timu zake

    Jibu

    Hats hvyo Lewis no mchezaji anayejituma sana

    Jibu

    Yupo vzr Lewis

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Zamu yake sasa kutamba!!!

    Jibu

    Calvert ameanza vizuri

    Jibu

    Acha ing’ae alipofikia sio pabaya

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    kila kitu kina wakati wake huu ndo wakati wake wa kutamba

    Jibu

    Lewin ni moto mwingine huu

    Jibu

    Calvert-Lewin ni tishio kwasasa kwenye ulimwengu wa soka

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Jamaa yupo vizurii

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Vzr sana

    Jibu

    Lewin amekua moto sana kiwango chake hakipingiki

    Jibu

    Congrat lewis 🖐️🖐️

    Jibu

    Waooo

    Jibu

    Calvert-Lewin ni tishio kwasasa kwenye ulimwengu wa soka

    Jibu

    Gud news 👍

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Vipaji vpo uingereza

    Jibu

    Lewin yupo vizuri sana kwenye ulimwengu wa soka

    Jibu

    Lewin anakuja kwa Kasi vizur Zaid.

    Jibu

Acha ujumbe