Giroud Pambana Wafaransa Wana Majina Yao Moyoni

Hakuna binadamu aliyeifungia Ufaransa mabao mengi kama Thiery Henry. Mabao 51 katika michezo 123 ya timu ya taifa. Hapo tusahau kazi aliyoifanya Monaco, Arsenal na Barcelona. Alikuwepo kwenye ile Ufaransa iliyotwaa kombe la dunia 1998. Mkono wake uliwapeleka kombe la dunia 2010.

Licha ya yote aliyoyafanya Henry, Wafaransa hawajawahi kumuweka mioyoni mwao. Wao wanamuhusudu sana Zinedine Zidane, Raymond Kopa na Michel Platin. Wao wanawahusudu sana hao. Kwao Thiery Henry ni raia wa kawaida tu kama wengine.

Jana Olivier Giroud akaichezea Ufaransa mchezo wake wa 100. Mabao mawili aliyofunga yamemuweka mabao tisa nyuma ya Thierry Henry. Kwa sasa ni mfungaji wa pili bora wa muda wote wa Ufaransa. Amemuacha hadi Michel Platinni. Yupo michezo 23 nyuma ya Thierry Henry.

Mabao 42 na mechi 100 za Giroud hata hazijawashtua wafaransa. Wao wanamtaka Karim Benzema kikosini. Wao wanaamini Giroud ni mchezaji wa kawaida sana. Hawayatazami mabao yake, hawazitazami mechi zake wala uongozi wake. Wao wanachoamini ni kuwa Didier Deschamps anampendelea Oliver Giroud.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

25 Komentara

    Safii Sana Thierry Henry alikuwa yupo vizuri Sana jembe uyo alikuwa anasifika Sana kwenye soka

    Jibu

    Good

    Jibu

    Ni bonge la mechi

    Jibu

    Giroud mwamba sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    giround anajua sana yupo vizuri

    Jibu

    Wafaransa mbona Kama wabinafsi

    Jibu

    Giroud anajituma kwa kweli

    Jibu

    Good Giroud

    Jibu

    Big mechi

    Jibu

    Giroud yuko vzr sana

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    duh

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Giroud ni strrika mzuri na kiwango chake ni makin

    Jibu

    All the best Giroud

    Jibu

    Giroud mwamba wa magoli wa kmy kmy

    Jibu

    Go Giroud

    Jibu

    Jana Olivier Giroud akaichezea Ufaransa mchezo wake wa 100. Mabao mawili aliyofunga yamemuweka mabao tisa nyuma ya Thierry Henry. Kwa sasa ni mfungaji wa pili bora wa muda wote wa Ufaransa. Amemuacha hadi Michel Platinni. Yupo michezo 23 nyuma ya Thierry Henry.

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Giround namuelewa sana

    Jibu

    Giroud pamban uwe top score

    Jibu

    Giround anajua sana yupo vizuri

    Jibu

    Kila la kher

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.