Kinda Pitaluga, 17 Atua Liverpool Akitokea Fluminense.

Klabu ya Liverpool imethibitisha kumsajili golikipa wa Kibrazil, kinda Marcelo Pitaluga akitokea katika klabu ya Fluminense.

The Reds ilithibitisha kuwa mlinda lango huyo mwenye umri wa miaka 17 atakuwa na majukumu ndani ya kikosi cha kwanza katika viwanja vya mazoezi Melwood, wakati pia atakuwa akitokea katika akademi ya Liverpool.

Kind Pitaluga,17 Atua Liverpool Akitokea Fluminense.

Pitaluga alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 (U-17) kilichoshinda kombe la dunia mwezi Novemba mwaka janana alitajwa mara mbili katika benchi la timu ya Fluminense katika Serie A msimu uliyopita, ambako kaka yake ambaye pia ni golikipa wa Liverpool Alisson, aliwahi kuchezea.

“Nilimuona kwa mara ya kwanza katika kikosi kilicho shinda kombe la dunia, ebu angalia mafaniko na umri aliyonao,”Mkuu wa magolikipa wa Liverpool John Achterberg aliiambia tovuti rasmi ya klabu.

“Unaona kwamba alikuwa ndani ya kikosi kilichokuwa kwenye mashindano ya Kombe la Dunia alikuwa na umri mdogo zaidi, unaona umuhimu wake kwa sababu una magolikipa wawili wa rika moja lakini lazima uchague mmoja ambaye ni mdogo zaidi kwa sababu ya sifa nzuri aliyonayo.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

35 Komentara

    liverpool wanaaidi kunoa kikosi chao wanapata majembe matupu

    Jibu

    Habari nzuri kwa Livrpool

    Jibu

    Safi dogo njoo ufanye mapinduzi

    Jibu

    Dogo anapiga ball hatari

    Jibu

    Ni habari njema kwa club ya Liverpool

    Jibu

    Karibu sana Liverpool

    Jibu

    Taarifa njema kwa washabiki wa Liverpool

    Jibu

    Liverpool wamepata bonge la kipa chipukizi hatawafaa sana kama watamtumia vizuri

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Karibu sana Liverpool

    Jibu

    Liverpool wamepata kipa mzuri na bado umri wake mdogo atafanya makubwa zaid

    Jibu

    kipa wa liver kahandsome ako hatariiii

    Jibu

    Liverpool wamepata mchezaji mzuri

    Jibu

    Liverpool ni bonge la mchezaji

    Jibu

    Hazina ya baadaye hii

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Liverpool wamepata bonge la kipa

    Jibu

    Karibu dogo Liverpool

    Jibu

    Dogo yuoo vizuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mtoto mbichi ndo mzuri wazee watulie

    Jibu

    Liverpool wapo vizuri

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Kipa mzuri sana

    Jibu

    Next generation 🖐️🖐️🖐️

    Jibu

    Kapambane

    Jibu

    Liverpool wamepata kipa mzuri na bado umri wake mdogo atafanya makubwa zaid

    Jibu

    Unakaribishwa sana

    Jibu

    Liverpool wamejipatia kipa bora alafu umri wake unaruhusu

    Jibu

    Ni bora ili kikosi kiwe vizuri zaida

    Jibu

    Baadae wanamuandaa kua tegemeo

    Jibu

    Vema, aje afanye mapinduzi

    Jibu

    Dogo anajua yuko vzur

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.