Wamethibitisha kuwa nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo amepata maambukizi ya virusi vya Corona.
Nyota huyu amegundulika kuwa na virusi vya corona baada ya vipimo akiwa kwenye majukumu yake ya timu ya taifa Ureno, baada ya kucheza mechi ambayo walitoa sare ya bila kufungana na Ufaransa na Hispania.

Ureno walitangaza taarifa hizi na kusema kuwa staa huyu yupo katika hatua za kutoonesha dalili zozote za maambukizi.
βNyota huyu wa kimataifa wa Ureno ni mzima, haoneshi dalili na yupo karantini.
Baada ya kupata kesi za maambukizi ya corona, wachezaji waliosalia wamefanyiwa vipimo zaidi Jumanne asubuhi, wote wakiwa hawana maambukizi.”
Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.Β



Amiri Kayera
Corona nayo kwao wachukulie ugonjw wa kawaid wafany majukum Yao
Juliana Alex
Da jamani pole yake Ronald
Issa
Korona ni shida
Ester mmakasa
Jamani Ronaldo mungu amfanyie wepese janga limuepuke.
aisha
Duuh corona ni tishio la dunia
Dorophina
Ugonjwa unaendelea kuwa tishio kubwa kwa wachezaji wakubwa pole ronaldo
Caroline
Na Imani kubwa kwamba ataponaa
Mwajumah
Duuh hii corona ni tishio sasa la dunia
Adelta
Pole Sana Ronald mwenyezi mungu atakuponya
Angelina
Corona haina mjanja
magdalena
hii corona balaa sana
Fatina mfigi
Duuh coron noma
Sauda
Corona hatari sana
Nasra
Corona imekua kwa Kasi kwenye michezo
Yapaswa vilabu vichukue tahadhari
zeiyana
corona hinawasili sana majirani zetu
Janeflora malisa
Oooh my jesus
Fatuma kasomo
Polee sana
Saupha mohamed
Duuu polo Sana’a
Sabrina
Duuh pole sana CR7
Povel
Majanga pigo kubwa sana kwa wababe wa italia vibibi kizee vya tulin ,natumain get well soon cr7ππΌππΌππΌππΌ
Gabriel
Corona imekua kwa Kasi kwenye michezo
Hidaya
Corona noma sana
felister
wapige nyungu
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa Corona inayumbisha watu Sana yani pole yake Ronaldo
Tatu
Corona sio poa
Ernest
Corona inazidi kutingisha wachezaji Ulaya
Tahiya
Get well soon Christian Ronaldo
Hopemwaikuka
Ugua pole