Ronaldo Alivunja Taratibu za Afya Kurejea Italia?

Ronaldo alikosa mechi ya Ureno dhidi ya Sweden baada ya kupatikana na maambukizi ya Corona.

Kikosi cha Juventus kiliamua kujiweka karantini baada ya kiungo Weston McKennie naye kupatikana na maambukizi ya Corona.

Ronaldo alisafiri kurejea Italia na kwenda kujiweka karantini nyumbani kwake. Kulikuwa na taarifa kuwa Ronaldo anaweza kuwa alivunja masharti ya afya alipokuwa anarejea Italia kutoka Ureno.

Waziri wa Michezo, aliyekuwa akihojiwa na kituo fulani cha michezo aliulizwa kama kuna uwezekano Ronaldo alikuwa amevunja masharti aliporejea Italia, na alijibu kuwa anafikiri hivyo kwa sababu hakukuwa na ruhusa rasmi kutoka Wizarani.

Lakini kwa mujibu wa raisi wa Juventus, Andrea Agnelli hakuna sharti lolote lililovunjwa juu ya Ronaldo kurejea Italia.

Agnelli aliwaambia wanahabari kuwa “mnapaswa kuwapigia wizara ya afya na Wizara ya mambo ya ndani, wawaeleze ni sharti lipi lililovunjwa.”

Juventus waliweka wazi kuwa Ronaldo amerejeshwa kwa ndege ya matibabu iliyoidhinishwa na mamlaka ya wataalamu wabobezi wa afya.


 

Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

29 Komentara

    Kusafiri na corona ni very risk.uko Safarini unaeza kuambukiza wenzako

    Jibu

    Vizuri Ronaldo alicho kifanya kuondoka kwenda kujiweka Carantin mwenyewe lakini kwasheria yakaz inatakiwa kuwasikiliza huongozi wake wa krabu kumfanyia uchunguzi pale pale Juventus

    Jibu

    Ronaldo halicho fanya si vyema kabisa kuweka hatarini afya za watu wengine ukisafiri kuna watu wengi unakutana nao hinaitajika taadhari kubwa na hili gonjwa

    Jibu

    ronaldo alifanya makosa sana kwa kitendo iko

    Jibu

    Ronaldo hajafanya vizuri kabisa kwan anahatarisha afya za wengine

    Jibu

    Kwa jicho alichokifanya lonaldo sio vizur

    Jibu

    Ndiomaana maambukizi ayapungui itary

    Jibu

    Safarini unaeza kuambukiza wenzako

    Jibu

    Ronaldo amevunja vigezo na masharti wampe dhabu tu

    Jibu

    Ronaldo amekosea sana

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    noma san

    Jibu

    Sheria ifuate mkondo wake hapo

    Jibu

    Duuh hatari hiyo kusafiri na Corona nihatari sana maambukizi yanazidi

    Jibu

    Wachezaji wanatakiwa wafate sheria za. Korona kujikinga zaid ili kuepuka maambukiz zaid

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Duu hii nomaa sana

    Jibu

    Nomaa

    Jibu

    Sheria muhim

    Jibu

    Ronaldo amezingua

    Jibu

    Mashabiki wanamsamehe Ronald kwa kitendo alichofanya

    Jibu

    Corona Kwa namna hiyo kila mtu anayo

    Jibu

    Duuh majanga ayo

    Jibu

    Hayo ni majanga

    Jibu

    Hakufanya sahihi

    Jibu

    Kazi ipo hapa

    Jibu

    Corona imeongeza hofu ya watu kukutana na kufanya gharama za uendeshaji kuongezeka mno

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.