Safari ya Victor Moses na Spartak Moscow

Winga wa Chelsea, Victor Moses ameianza rasmi safari yake na klabu ya Spartak Moscow kwa mkopo.

Nyota huyu ameungana na klabu hii tayari kuitumikia kwa msimu mzima, huku mkataba wake ukiwa na chaguo la kufanya dili la kudumu.

Staa huyu mwenye miaka 29 inaonekana ameshindwa kumshawishi bosi Frank Lampard. Ametumia msimu uliopita kwa mkopo Fenerbahce na Inter Milan.

Nyota huyu hajaichezea klabu yake ya Chelsea kwa zaidi ya miaka miwili, na safari yake kwenda Urusi ni safari ya sita Kucheza nje ya Chelsea tangu alipojiunga na Chelsea mwaka 2012.

Spartak Moscow watakuwa na uwezo wa kumsajili kwa mkataba wa kudumu ikiwa watavutiwa na huduma yake kwa wakati ambao atakuwepo klabuni hapo.

 


 

Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

26 Komentara

    kila la kheri kijana

    Jibu

    Kila la kheri kwake

    Jibu

    maisha popote

    Jibu

    Popote kambi

    Jibu

    Victor Moses Safar njema kambi popote straika achagui kambi

    Jibu

    Piga kaz kijana

    Jibu

    Kila lakheri Moses katika safari yako mpya

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Viktoria MOSES amekuwah co kiwango kizur Sana katika misimu ya hv karibu ndo maana kinamfany kukos nafas ndani ya the blues vle vle anaonekan mchezaj anayepelekwa kwa mkopo timu tofaut tofaut kila la kheri moses viktoria one day yes

    Jibu

    Kapige Kazi kaka

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Viktor moses amekua kwenye kiwango kibovu sana na majeraha yamemfanya awe nje ya uwanja

    Jibu

    Yote sawa

    Jibu

    Popote kambi

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni sawa t

    Jibu

    Kila kheri

    Jibu

    Vizuri piga kazi kila la kheri

    Jibu

    Kwa ligi hii atapata usajir wakudum

    Jibu

    Fanya kazi kijana

    Jibu

    Kil l a kheri

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Victor Moses amepotea ghafla sana kwenye ulimwengu wa Soka

    Jibu

    AntoniO Conte aliyekuwa kocha wa Chelsea msimu wa 2016/2017 alimutumia kwa mafanikio makubwa mno hadi kuipa ubingwa wa ligi EPL

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.