Tetesi zinasema Manchester United imepewa tumaini kwamba inaweza kusaini mkataba na winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20, baada ya kumkosa msimu uliopita.
United pia wanamlenga kiungo wa kati wa Sporting Lisbon mwenye umri wa miaka 16-Luis Gomes. Kiungo huyo wa safu ya kati Mreno amepewa jina la ‘ Luis Figo’ ajaye nchini mwake.
Tetesi zinasema mshambuliaji wa Wolves Adama Traore, 24, yuko tayari kupokea wito Barcelona na Liverpool ili kusaini mkataba mpya wa pauni 100,000-kwa wiki katika Molineux.

Mlinzi wa zamani wa Liverpool Jamie Carragher anasema klabu hiyo lazima imsajili beki wa kati baada ya mchezaji wa kimataifa wa Uholanzi Virgil van Dijk, 29, kupata majeraha wakati wa mechi yao dhidi ya Everton.
Tetesi zinasema Winga wa Liverpool Harvey Elliott, mwenye umri wa miaka 17, alikitathmini kikosi cha Blackburn kabla ya kukubali uhamisho wa mkataba wa mkopo.
Mchezaji na kocha wa Derby County Wayne Rooney, mwenye umri wa miaka 34, anatarajia kupata matokeo ya vipimo vya Covid-19 test Jumatatu baada ya kugundua kuwa rafiki yake aliyemuuzia saa ya mkononi alikuwa na virusi vya corona.

Tetesi zinasema Klabu za EFL zinatishia kuzuwia jaribio la kulipa ushuru ili kupata dhamana ya serikali .
Mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala, mwenye umri wa miaka 26, alikuwa na malumbano na afisa mkuu wa soka wa Juventus Fabio Paratici baada ya kuachwa nje ya kikosi kilichoingia uwanjani Jumamosi.
Tetesi zinasema kiungo wa kati wa Liverpool na Uholanzi Georginio Wijnaldum, pia analengwa na Barcelona. Mchezaji huyo, 29, yuko mwaka wa mwisho wa mkataba wake na msimu ujao atakuwa huru.

Winga Mfaransa Allan Saint-Maximin, mwenye umri wa miaka 23, alikuwa mmoja wa wachezaji wa Newcastle wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi aliposaini mkataba mpya wa miezi sita- ambapo malipo yake yaliongezeka mara dufu hadi kufikia pauni 70,000 kwa wiki.
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.


magdalena
united waachane na matuamini ya juu ya kumnasa sancho hawezi kwenda pale
latifa juma mohamed
Iko njema ratiba ya leo.
Tatu
Man u awakati tamaa juu ya kumpata sancho
Angelina
Goodupdate
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa vizuri Sana Sancho akiweka Saini yake Man U
Adelta
Sancho akijisajili kwa man u itakuwa vizuri
Mwajumah
Man u bado tu hawajakata tamaa juu ya kumpata sancho
Fatina mfingi
Duuh man U mbaka lao litimie juu ya kumpat sancho
Khadija
Ratiba iko poa
Dorophina
Man u mbona wanaangaika na sancho sana waachane nae
Mwanahamisi
Ratiba iko poa
Elika
Iko poa sana
Janeflora malisa
Iko bomba
Amiri Kayera
Habari njem za usajir
zeiyana
man u bado wanapambanaia sain ya sancho wakati wanatakiwa wasaijili wachezaji wenye uwezo ili kukamilisha kikosi chao kiwe kwenye ubora ukiangalia wachezaji wapo wengi chipukizi wenye uwezo mkubwa na sio kupambania nguvu ya mtu mmoja tu sijui wanakwama wapi
Fatuma kasomo
Iko poa
lombo
saf
Hidaya
Iko poa sana hii
aisha
Sancho ndio habari ya mjini
Povel
Usajil mambo ni moto
Issa
Sajili muhim sana
Hopemwaikuka
Zko njema
Mariam mtandama
Safi
Gabriel
Imekaa poa sana 👍
Saupha mohamed
Safiii
Sabrina
Inapendeza
warda
Man U Wajitahidi sana jamani tunaumia moyo sana
Sauda
Taarifa ziko poa