Al Ahly Atinga Fainali ya Ligi ya Mabingwa

Kigogo wa soka kutoka Morocco, Wydad Casablanca, amekubali kapigika nje-ndani kwenye mtanange wa nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya bingwa wa kihistoria wa michuano hiyo National Al Ahly ya Misri.

Akiwa nyumbani Wydad alifungwa mabao 2-0, juma lililopita na usiku wa jana Ahly akaonyesha umwamba akiwa kwenye uwanja wa nyumbani  baada ya kushinda mabao 3-1.

Mabao ya Al Ahly yalifungwa na Marwan Mohsen dakika ya 5,Hussein El Shahat dakika ya 26 na Yasser Ibrahim dakika ya 56 na lile la Wydad lilifungwa na Zouhair El Moutaraji dakika ya 82.

Al Ahly wametinga fainali kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Wydad na sasa anamsubiri mshindi baina ya Zamalek ambaye anaoongoza mechi ya mkondo wa kwanza kwa ushindi wa  1-0 dhidi ya Raja.

Mtanange huo utachezwa Novemba Mosi, wakati fainali itachezwa Novemba 6 mwaka huu.

Haya ni mafanikio ya kocha mpya kutoka Afrika ya Kusini, Pitso Mosimane, ambaye amejiunga na Klabu hiyo hivi karibuni akitokea Mamelodi Sundowns.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

26 Komentara

    Hawa ni mabingwa wapya baran afrika

    Jibu

    Habari njema.

    Jibu

    Congrats kwao mabingwa wa kihistoria AFRICAN

    Jibu

    Hongera sana kwao

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Sema afrika mpira wetu bado ni wamipango mingi sana nje ya soka

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Hiyo timu sio ya mchezo mchezo ,wanajua nn wanakifanya wakiwa uwanjani

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Good 👍

    Jibu

    wydad walijituma sana ila ndio hivyo tena bahati haikua kwao

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Pongezi zao sana

    Jibu

    Al ahly naona waipania mpira

    Jibu

    Al ahly hatari sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Al-ahly wanajua sana

    Jibu

    Pongez kwao

    Jibu

    Hiyo timu sio ya mchezo mchezo ,wanajua nn wanakifanya wakiwa uwanjani

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.