Kigogo wa soka kutoka Morocco, Wydad Casablanca, amekubali kapigika nje-ndani kwenye mtanange wa nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya bingwa wa kihistoria wa michuano hiyo National Al Ahly ya Misri.

Akiwa nyumbani Wydad alifungwa mabao 2-0, juma lililopita na usiku wa jana Ahly akaonyesha umwamba akiwa kwenye uwanja wa nyumbani baada ya kushinda mabao 3-1.
Mabao ya Al Ahly yalifungwa na Marwan Mohsen dakika ya 5,Hussein El Shahat dakika ya 26 na Yasser Ibrahim dakika ya 56 na lile la Wydad lilifungwa na Zouhair El Moutaraji dakika ya 82.

Al Ahly wametinga fainali kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Wydad na sasa anamsubiri mshindi baina ya Zamalek ambaye anaoongoza mechi ya mkondo wa kwanza kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Raja.
Mtanange huo utachezwa Novemba Mosi, wakati fainali itachezwa Novemba 6 mwaka huu.
Haya ni mafanikio ya kocha mpya kutoka Afrika ya Kusini, Pitso Mosimane, ambaye amejiunga na Klabu hiyo hivi karibuni akitokea Mamelodi Sundowns.
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.


Issa
Hawa ni mabingwa wapya baran afrika
Aziza mushi
Habari njema.
Povel
Congrats kwao mabingwa wa kihistoria AFRICAN
Hopemwaikuka
Hongera sana kwao
Janeflora malisa
Safi
aisha
Pongezi kwao
Kabogolo II
Sema afrika mpira wetu bado ni wamipango mingi sana nje ya soka
Theonestina
Habari njema
Elika
Hiyo timu sio ya mchezo mchezo ,wanajua nn wanakifanya wakiwa uwanjani
Khadija
Safi sana
Adelta
Good 👍
zeiyana
wydad walijituma sana ila ndio hivyo tena bahati haikua kwao
Mwanahamisi
Safi sana
Mwajumah
Pongezi kwao
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi zao sana
Tatu
Al ahly naona waipania mpira
Sauda
Al ahly hatari sana
Fatuma kasomo
Habari njema
Saupha mohamed
Good news
Sabrina
Safiii
Asia Abdy
Nice
Neema
Safi sana
warda
Al-ahly wanajua sana
Tahiya
Pongez kwao
David Pere
Hiyo timu sio ya mchezo mchezo ,wanajua nn wanakifanya wakiwa uwanjani
Ester jackson
Safii sana