Kiungo wa timu ya Taifa ya Ubelgiji na Klabu ya Manchester City Kelvin De Bruyne ameanza mazungumzo na klabu hiyo kwaajili ya kurefusha mkataba wake utakaombatana na kupandishiwa mshahara wake.
De Bruyne ambaye amekuwa Kapteni wa City katika mechi tofauti baada ya Fernandinho kuumia amezungumzia swala hilo alipokuwa katika kuitumikia timu yake ya taifa ya Ubelgiji walioshinda 2-0 dhidi ya England.

“Nina Furaha hapa Manchester. Nipo katika klabu nzuri, Mmiliki Mzuri, Tupo tunazungumza lakini hatujafikia mbali. Muda huu najaribu kuzungumza mwenyewe (na nafsi yangu). Ukitaka kubaki, sio jambo gumu“. alisema
Mazungumzo hayo yalianza kufanyika siku chache zilizopita ili kuzuia ushawishi wa timu kubwa kama Real Madrid na PSG katika dirisha lijalo la usajili, mkataba wa sasa wa De Bruyne unaisha mwezi June 2023.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Carolyn
De Bruyne inaonekana ana furaha sana akiwa Manchester city.ok.kila la kheri
magdalena
city waendelee tu kumuongezea mkataba bruyne sababu bado ana mchango mkubwa sana na club iyo
zeiyana
De bruyne ni mtu makini sana pale man city sizani kama kutakua na malumbano kuusu swala hilo
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri nijambo la kheri kwa De bruyne yupo vizuri kiungo huyo maerewano tuu na krabu yake
Ester jackson
Ni bora ubaki tu man city au uende PSG
Elika
Mazungumzo yawe ya kher
Fatina mfigi
Mazungumzo yaishe vizur na mtape suluisho,!
Adelta
De Bruyne anamchango mkubwa Sana katika clabu city kwa hiyo ni vizuri maongezi yawe mazuri aongeze mkataba
Rahma
Mazungumzo yawe ya kheri
Hopemwaikuka
Gud
Angelina
Goodnews
Mwajumah
Mazungumzo yawe ya kheri
Povel
Nice update
Issa
Kdb ni wakat wa kutafuta changamoto ingine hapo pametosha
aisha
Fanya yako broo kila la kheri
Sabrina
Inapendeza sana De Bruyne kuendelea kusalia man City
Sauda
Kila la kheri De Bruyne
Saupha mohamed
Good
Tatu
Tunasubili mazungumzo yaishe tuone itakuwaje