De Bruyne Aanza Mazungumzo na City.


Kiungo wa timu ya Taifa ya Ubelgiji na Klabu ya Manchester City Kelvin De Bruyne ameanza mazungumzo na klabu hiyo kwaajili ya kurefusha mkataba wake utakaombatana na kupandishiwa mshahara wake.

De Bruyne ambaye amekuwa Kapteni wa City katika mechi tofauti baada ya Fernandinho kuumia amezungumzia swala hilo alipokuwa katika kuitumikia timu yake ya taifa ya Ubelgiji walioshinda 2-0 dhidi ya England.

 

De Bruyne Aanza Mazungumzo na City.

Nina Furaha hapa Manchester. Nipo katika klabu nzuri, Mmiliki Mzuri, Tupo tunazungumza lakini hatujafikia mbali. Muda huu najaribu kuzungumza mwenyewe (na nafsi yangu). Ukitaka kubaki, sio jambo gumu“. alisema

Mazungumzo hayo yalianza kufanyika siku chache zilizopita ili kuzuia ushawishi wa timu kubwa kama Real Madrid na PSG katika dirisha lijalo la usajili, mkataba wa sasa wa De Bruyne unaisha mwezi June 2023.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

19 Komentara

    De Bruyne inaonekana ana furaha sana akiwa Manchester city.ok.kila la kheri

    Jibu

    city waendelee tu kumuongezea mkataba bruyne sababu bado ana mchango mkubwa sana na club iyo

    Jibu

    De bruyne ni mtu makini sana pale man city sizani kama kutakua na malumbano kuusu swala hilo

    Jibu

    Vizuri nijambo la kheri kwa De bruyne yupo vizuri kiungo huyo maerewano tuu na krabu yake

    Jibu

    Ni bora ubaki tu man city au uende PSG

    Jibu

    Mazungumzo yawe ya kher

    Jibu

    De Bruyne anamchango mkubwa Sana katika clabu city kwa hiyo ni vizuri maongezi yawe mazuri aongeze mkataba

    Jibu

    Mazungumzo yawe ya kheri

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Mazungumzo yawe ya kheri

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Kdb ni wakat wa kutafuta changamoto ingine hapo pametosha

    Jibu

    Fanya yako broo kila la kheri

    Jibu

    Inapendeza sana De Bruyne kuendelea kusalia man City

    Jibu

    Kila la kheri De Bruyne

    Jibu

    Good

    Jibu

    Tunasubili mazungumzo yaishe tuone itakuwaje

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.