Uingereza; Petr Cech amerejea kwa mara ya kwanza dimbani tangia alipotangaza kustaafu kama mwanasoka. Golikipa huyu alirejea kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Spurs U23.
Chelsea walimtaja golikipa huyu kwenye kikosi chao cha wachezaji 25 wa Primeier League licha ya veterani huyu kutangaza kutumika ‘gloves’ msimu wa 2018-19.
Lakini kurejea kwake kunafifisha matumaini juu ya nafasi yake katika kikosi cha kwanza. Veterani huyu mwenye miaka 38 ameshindwa kutendea vyema nafasi aliyopewa ya kufanya onesho lake la kwanza la ujio wake mpya tangia alipotangaza kustaafu.

Kwenye mechi dhidi ya vijana wa Spurs, alifanya ‘blanda’ ambazo ziliwagharimu Chelsea goli. Baada ya dakika 15 aliruhusu goli jingine na kuwaondolea matumaini ya ushindi Chelsea.
Hata hivyo, kutokana na uzoefu wake alitarajiwa kufanya zaidi ya kile ambacho amekifanya.
Baada ya Petr Cech kutajwa kwenye kikosi cha wachezaji wa Frank Lampard msimu huu, alionekana kama anaenda kutoa ushindani mkubwa kwa Edouard Mendy, Kepa Arrizabalaga na Willy Caballero. Lakini kutokana na kibarua hichi cha awali inaonekana nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza itakuwa finyu zaidi.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!



Adelta
Chelsea wafanye mpango wa kutafuta
Golikipa mwingine
Shakila mrope
Du sasa itakuwaje watafute tu mwingine
Khadija
Inabidi chelsea watafute tu kipa mwengine
Sarah
Hapo hakuna jinsi itabidi watafute kipa mwingine
Rahma
Kwenye jambo ILo kutafuta kipa mwengine ni lazima
Dorophina
Petr umri umeshaenda wangemuacha tu astaafu
Caroline
Pole P
Hopemwaikuka
Dah
Issa
Peter cech ni mtam sana
Saupha mohamed
Dhuuu
Fatuma kasomo
Asantekwa taarifa meridianbet
Amani Maeda
Atakaa sawa tu mpeni muda.
Isaya massawe
Kazi ipo sana
Mwanahamisi
Duuh
Samiah
Kazi kweli
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa
Emmanuel dalaya
Hahaah atakuwa vozur tu inatakiwa afanye mazoez
Tatu
Chelsea watafute kipa mwingine
warda
Tena gundu sio kidogo
Latifa juma mohamed
Gundi c dgo