Dortmund Watawezana na Mauricio Pochettino?

Mauricio Pochettino amekuwa akihusishwa na kibarua cha umeneja klabuni Borusia Dortimund baada ya kutimuliwa kwa Lucian Favre.

Pochettino amekuwa nje ya kibarua kwa mda mrefu kidogo toka alipotoka Spurs. Amekuwa akihusishwa na vilabu kadhaa wakati yeye akiwa na mpango zaidi wa kurejea Ligi ya Uingereza.

Katika kuhusishwa kwake na Dortimund, inaweza kuwa nafasi nzuri kwake kurejea kwenye soka kama meneja lakini kuna walakini kama kweli Dortimund Watawezana na Pochettino.

Taarifa nyepesi zinataja kuwa Dortimund wao wanahitaji aina ya meneja wa kaliba ya Jurgen Klopp, ambaye atakuwa meneja wa kudumu klabuni hapo.

Mauricio Pochettino

Favre alitimuliwa baada ya Dortimund kupata kichapo cha aibu cha 5-1 dhidi ya Klabu ambayo ilikuwa imetoka kupanda daraja VfB Stuttgart. Pia hii ilikuwa ni mechi yao ya tatu mfululizo kupoteza kwenye Ligi.

Pochettino anaingia kwenye orodha ya mameneja wengine wanaotupiwa jicho, akiwa na Marco Rose wa Borussia Monchengladbach na Jesse Marsch wa RB Salzburg.

Hata hivyo, kuna taarifa zingine kuwa Dortimund hawatawezana na Pochettino kwa sababu ni kocha ghali na pia hazungumzi kijerumani, hivyo itakuwa changamoto.

Unafikiri dili hili linaweza kukamilika? Chapisha maoni yako kwenye kisanduku cha maoni hapo chini.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

 

21 Komentara

    Dortmund kumpata huyu kocha ni changamoto kubwa

    Jibu

    Watawezane tuuu

    Jibu

    Hakuna kisichowezekana watawezana tu

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Mauricio yupo vizuri Dortmund inatakiwa kumuamini tu

    Jibu

    Watawezana tu

    Jibu

    Mmh

    Jibu

    Porchetino kocha mwenye rekod zake

    Jibu

    Ataliiii

    Jibu

    Nomaa

    Jibu

    Dortmund wagumu hawashindwi

    Jibu

    Asante kwa taarifa@meridianbettz

    Jibu

    Dortmund wamempata kocha mzuri sana

    Jibu

    Noma sana

    Jibu

    Duuh simchezo

    Jibu

    Itawezekana tuuu Kwanini wasiweze

    Jibu

    Dortmund inabidi wakaze sana wanamatokeo mabaya sana

    Jibu

    Wataweza tu kwan watakuwa chin yao

    Jibu

    Watawezana tu

    Jibu

    Akajaribu tu ata akishidwa

    Jibu

    Itawwzekan tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.