Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amesisitiza Arsenal watakuwa wamefanya kosa kubwa endapo watamfukuza msaidizi wake wa zamani Mikel Arteta.
Pressure imezidi kuwa kubwa kwa Arsenal baada ya hapo jana City kuwaporomoshea kipigo cha magoli 4-1 katika robo fainali ya Carabao Cup uwanjani Emirates.

Arsenal wanashika nafasi ya 15 katika msimamo wa ligi ya EPl baada ya mechi 14 wakiwa wamefungwa mara 7 katika michezo yao 10 ya mwisho.
“Watakuwa wamefanya kosa KUBWA endapo watamfukuza Arteta, Nina uhakika wataendelea kumuamini” Pep aliiambia BBC Radio 5
“Naelewa wanaangalia matokeo lakini nilikuwa nae miaka kadhaa na ninafahamu ni mtu mzuri na ni meneja mzuri katika kila kitu anachofanya. Ni swali la muda gani atafanya vizuri.”
“Sipo katika bodi. Lakini kwangu mimi watafanya kosa kubwa kama wanafikiria [kumfukuza]” aliongeza Guardiola
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Adelta
Yani wamefeli Sana hawa jamaa sijui wanakwama wapi??
Sarah
Du sio poa kabisa
Caroline
Tena wasithubutu.Arteta ana mchango mkubwa Sana Arsenal
Angelina
Arteta yuko vizuri sana namkubali
Magdalena
Wamuache wampe muda
Rahmal
Sasa itakuwaje
Issa
Areteta apew muda zaid
Hopemwaikuka
Wakiona sawa wao tu
Saupha mohamed
Wampe muda kidogo
Tatu
Sio Poa kabisaa
Mwanahamisi
Sio poa
Lydia Emmanuel Magoti
Sio poa kabisa wampe muda atakaa sawa izo nichangamoto tuuu akizipitia atazishinda
warda
sasa wafanyeje
Shakila mrope
Wampe muda kidogo
Frank P
Pep epl ishaanza kumshinda anataka kupunguza upinzani
Ernest Kimeru
Arteta ameenda Arsenal wakati ambao sio sahihi