Tetesi zinasema amekataa kusaini mkataba mpya na Bayern Munich, na anatarajia kuanza mazungumzo na Chelsea, Real Madrid na Paris St. Germain.
Beki wa Manchester City na England John Stones, 26 anatarajiwa kuongeza mkataba na klabu hiyo baada ya kumfurahisha meneja wake Pep Guadiola.
Tetesi zinasema Liverpool haina mpango wa kumuuza mshambuliaji wake Mohamed Salah, 28 baada ya taarifa kusema hana raha Anfield.

Tetesi zinasema Arsenal inamfikiria kumsajili mshambuliaji wa Uruguay, Maxi Gomez, 24.
Everton inataka kumuongeza mkataba beki wake wa kushoto mfaransa, Lucas Digne, 27. City walianza kumnyemelea mchezaji huyo.
Newcastle na Sheffield United wanamfwatilia kwa karibu beki wa Manchester United na Argentina Marcos Rojo, 30. Klabu hizo zinamtaka kwa mkopo mchezaji huyo.
Tetesi zinasema Klabu ya Paris St-Germain ina mpango wa kuwasilisha ombi la kuwasajili kipa wa Atletico Madrid na Slovenia Jan Oblak, ambaye yuko tayari kwa chagamoto mpya.

Beki wa Manchester United na England Phil Jones, 28, anafwataliwa kwa mkopo na klabu za West Brom na Derby County.
Manchester United inataka kumsajili beki wa Ecuador, Moses Caicedo, 19 kutoka klabu ya Independiente del Valle katika dirisha la mwezi january.
Tetesi zinasema beki wa Liverpool na England Rhys Williams, 19, hatoruhusiwa kuondoka ka mkopo.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Adelta
Tetesi zinasema Liverpool hawawezi kumuuza mshambuliaji wao
Caroline
Asante kwa taarifa
Angelina
Goodupdate
Sarah
Good news
Rahmal
Nic
Issa
Habar nzuri
Hopemwaikuka
Everton muongezeen huyo anafaaa
Saupha mohamed
Habari njema
Tatu
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Habari njema
warda
zilikuwa poa
Ernest Kimeru
Arteta anatakiwa kuwa na hesabu nzuri kwenye dirisha hili Godo ili kuleta mabadiliko ndani ya Arsenal na uongozi wanatakiwa kuachia mpunga