Kifo cha Legendari wa soka, Diego Maradona kilikuwa pigo la ghafla kwa wadau na wapenzi wengi wa soka. Baada ya kifo chake mwili wake ulifanyiwa uchunguzi kuhusiana na madai kuwa huenda kliniki iliyokuwa ikimuhudumia matibabu ilihusika kupekelea kifo chake.
Licha ya kuwa bado hakujapatikana ushahidi wa moja kwa moja juu ya tuhuma hizo, bado uchunguzi unaendelea kubaini undani wa sakata hili. Taarifa ya awali ya post-mortem imebainisha kuwa Maradona hakutumia pombe au dawa yeyote kabla ya kifo chake.

Kifo cha Maradona huyu kinahusishwa na tatizo la moyo ambalo hupelekea moyo kufeli. Uchunguzi ulikuwa unahusisha kubaini pia kama kuna uzembe ulifanyika na kuwajibika kwa namna yeyote kwa kliniki ambayo awali pia ilipekuliwa na vyombo vya usalama.
Ushahidi haujaweza kutosheleza kuwajibisha upande wa wahumu wake wa Afya, na uchunguzi bado unaendelea kubaini zaidi undani wa sakata hili.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia m hezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri maradona nimtu mkubwa lazima uchunguzi uwekipasavyo
Adelta
Sawa sisi tunasubiri uchunguzi wao
warda
Kweli hawakubali kushindwa
Shakila mrope
Kwani aliuwawa jamani si aliugua
Rahmal
Mashabiki tunasubilia uchunguzi wao uchunguzi lazima maladona mtu mkubwa
Saupha mohamed
Dhuu atalii
Issa
Legend kazimika
Hopemwaikuka
Kuna mda inabd tukubaliane na ukwel tu
Sarah
Duu mpk kieleweke