Klabu ya AC Milan imetangaza usajili wa mshambuliaji Mario Mandzukic ambaye anajiunga na timu kwa mkataba wa miezi 6 kukiwa na uwezekano wa kuongeza mwaka 1 zaidi.
Mandzukic anatua Milan kama mchezaji huru. Hii ni baada ya kuachana na klabu ya Al-Duhail ya nchini Qatar ambayo aliitumikia kwa mwaka mmoja akifunga goli 1 katika michezo 7.
Kabla ya kujiunga na Al-Duhail, mshambuliaji huyu aliitumikia Juventus kwa miaka 5 na sasa anarudi kwenye Serie A akiwa na AC Milan ambapo atavaa jezi namba 9.
Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.



Ernest Kimeru
AC Milan inazidi kujidhatiti msimu huu wapo serious sana
Rahmal
Asante kwa taalifa
Angelina
Habari njema kwa mashabiki wa AC milan
Magdalena
Ac Milan imefanya Jambo jema sana
Sania
Safi
Sadick
Mario Mandzukic bado ana uwezo wa kuendelea kucheza Serie A
Neema juma
AC.milan wako bomba kwa kweli
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki wa ac milan
Saupha mohamed
Nice
felister
safi
Hopemwaikuka
Jembe hilo
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri
Sarah
Safi
Sabrina
Safi Sana
warda
Mbona wamempa mda mchache sana