Kocha mkuu wa timu ya Real Madrid Zinedine Zidane amejibu juu ya taarifa zinazo husisha uhamisho wa mchezaji wa Bayern Munich David Alaba na mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe.

Alaba atakuwa nje ya mkataba mwishoni mwa msimu 2020-21 na siku ya Jumatatu gazeti la nchini Uhispania Marca lilidai kwamba makubaliano ya kuhudumu katika klabu hiyo ya LaLiga kwa muda wa miaka minne tayari yamefikiwa.
Mlinzi huyo hodari ambaye pia baba yake ni mshauri katika klabu ya Real Madrid, hajajibu chochote tangu ahusishwe na kusiani na mabingwa wa LaLiga.
Aliulizwa juu ya uvumi wa unaoendelea siku ya Jumanne katika mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa Copa del Rey na Alcoyano Zidane hakuwa tayari kuongelea jambo hilo.
“Naelewa unataka kuniuliza kuhusu swali hili juu ya mchezaji ambaye siyo wa klabu yetu lakini nipo hapa kuongelea mchezo wa Jumatano,” alisema.
“Naelewa kuna maada za faida zipo za kuziongela lakini sitajibu sasa mimi na timu yangu tunaangalia mchezo ulipo mbele yetu,”
Bosi huyo wa Real Madrid alitoa majibu hayo hayo alipoulizwa juu ya mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe kama angependa kuwa na mchezaji huyo wa Ligue 1.
alisema:”Samahani tayari nimesha sema tunaangalia mchezo wa Jumatano kama nilivyo wajibu juu ya Alaba.
Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.



Sadick
Real Madrid imeshindwa kuonyesha umwamba kwenye usajiri , kila siku kumekuwa na uvumi wa hili ama lile
Saupha mohamed
Good news
felister
vizuri zidane
Adelta
Zidane Yuko sahihi na maneno yake
Magdalena
Zidane anayumba sana
Venerose
Habari njema
Dorophina
Madrid wanapotea sana kwenye usajili
Rahmal
Zidane Yuko vizuli
Hopemwaikuka
Jibu konk
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana Zidane
Sarah
Zidane Yuko vizuri
Angelina
Goodnews
Sabrina
Zidane yupo vizuri
warda
Zidane angechukua hawa watu wawili angekuwa poa sana