United Kutenga Euro Milioni 56 Kwa Pau Torres?

Mchezaji Pau Torres anayekipiga katikaklabu ya Villareal amekuwa akifanya vyema sana katika majukumu yake ya ulinzi na kocha mkuu Unai Emery anaonekana kumtumia sana.

Kutokana na ubora wake, Pau amekuwa akihusishwa na kuhitajika na vilabu mbalimbali ikiwemo, Real Madrid, Barcelona na Manchester United. Torres amewekewa thamani ya Euro millioni 56 na Villareal wanaamini klabu kubwa yoyote duniani inaweza kulipa dau hilo.

Muhispania huyo amekuwa na wakati mzuri sana pale Villareal na amejipatia umaarufu mkubwa akiwa na timu ya taifa ya Spain. Ukuta wa ulinzi wa Man United umekuwa ukionekan kusuasua na mtu kama Pau Torres anaweza kuwa ongezo sahihi kabisa kwenye sehemu hiyo ya ulinzi.

Je, wapo tayari kutoa kiwango hicho cha fedha kwa ajili ya kuchukua saini ya nyota huyo? Ukizingatia matatizo mbalimbali ya Korona?


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

4 Komentara

    Pau Torres anastahili

    Jibu

    Kweli kabisa Pau yupo vinzur

    Jibu

    Pau yupo vizuri

    Jibu

    Duuu mipesa yote hiyo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.