Moran Ahitajika na Man U Na Chelsea

Kinda wa Brighton Andrew Moran ameibuka kuwa shabaha ya usajili wa majira ya joto wa timu ya Manchester United na Chelsea ambazo zote zimeonesha kutaka kunyaka saini ya mchezaji huyo.

Moran ana umri wa miaka 17 tu na ancheza katika akademi ya Brighton na akiwa huko ameonekana kiwango kikubwa sana, kiasi cha skauti wa Manchester United na Chelsea kuanza kumnyatia mchezaji huyo raia wa Ireland.

Moran bado hajapata nafasi ya kuanza katika kikosi cha wakubwa cha Brighton lakini kutokana na uwezo mkubwa anaweza kuanza kuchezea kikosi hicho.

Maisha ya baadae ya kinda huyu yanaanza kuonekana kuwa mazuri ukizingatia ukubwa wa vilabu viwili hivi vinavyohitaji saini yake, japokuwa huwa inakuwa ngumu sana kwa mchezaji mdogo na mgeni kupata wakati wa kucheza kwenye vilabu vikubwa kama hivi.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

9 Komentara

    Mwenye kisu kikali ndio atakayekula nyama

    Jibu

    wasimchanganye aende anakotaka yeye mwenyewe

    Jibu

    Moran aangalie wapi penye maslahi

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    United chukua watu wa kaz

    Jibu

    Maamuzi ni yake mwenyewe

    Jibu

    Waweke mkwanja mezani

    Jibu

    Waweke pesa hapo

    Jibu

    Tunasubiri maamuzi yake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.