Eric Bailly Asaini Mkataba Mpya na Man United

Eric Bailly amesaini mkataba mpya na Manchester United utakao mbakisha mpaka mwaka 2024 mwezi Juni.

Eric Bailly Asaini Mkataba Mpya na Man United

Dili iliyopita ya Bailly ilikuwa iishe mwishoni mwa msimu ujao lakini mchezaji huyo wa miaka 27 amekubali kuongeza muda wa kukaa huko Old Traford.

Beki huyo wa kati wa Ivory Coast ambaye katika mktaba wake kuna kipengele kinacho mruhusu kuongeza mwaka mmoja zaidi amecheza michezo 15 kwa United lakini amekuwa akikabiliwa na majeraha sana.

“Nina furaha sana, maamuzi haya ni kitu ambacho hata nilikuwa sijafikiria naipenda klabu hii na ninapenda kuichezea Manchester United,” alisema Bailly

“Kila kitu kipo vizuri sasa kipindi cha majeraha kimepita nipo sawa na najihisi vizuri hivyo tu.

Bailly amabye alijiunga na Manchester United akitokea Villarreal kwa ada ya  £30m mwaka 2016 alikutwa na maambukizi ya Coronavirus wakati alipokuwa kwenye majumu na timu ya taifa.

Aliulizwa kama kutwaa taji la Premier League ni kitu watakacho kipigania msimu ujao alijibu: “Nina amini nina amini naamini katika wachezaji wenzangu tupo vizuri vijana wadogo tutapambana.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

11 Komentara

    Safi Sana Karibu

    Jibu

    Safi karibu sana

    Jibu

    Kila lakheri eric

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Bonge la dili

    Jibu

    Hongera sana Erick

    Jibu

    Karibu sana

    Jibu

    Jembe linabak united

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.