Klabu ya Uturuki, Fenerbahce imewasilisha maombi ya kumfanyia usajili mchezaji mshambuliaji wa klabu ya EPL Ligi Kuu ya Uingereza, Tottenham na Uholanzi, Vincent Janssen.
Janssen ana umri wa miaka 24 na alicheza msimu uliopita kwa mkopo kwenye klabu hiyo.


Devotha
Asante meridianbettz kwa taarifa
Furahav
Habari nzuri.