Luke Shaw ambaye ni mchezaji wa safu ya ulinzi akiwa na umri wa miaka 23 kwa sasa anafurahia sana kuuona mwaka wake wa mwisho wa mkataba wake klabuni Manchester United.
Hili likiwa linaendelea, klabu ya Wolfsburg ya huko Ujerumani inamtaka mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza.



isha
Hongera kwao
Povel
Habar njema