Man U: Zinedine Zidane Anambadili Mourinho?

Kulikuwa na tetesi za chini chini kuwa huenda Zinedine Zidane akawa anaongoza katika orodha ambayo makamu mwenyekiti bwana Ed Woodward anaifikiria kumbadili Mourinho. ripoti hizi zinahusisha kufanya vibaya katika mechi tatu mfululizo za ugenini ambazo United wametoka kapa bila ushindi kwenye ligi ya primier mapema jumapili iliyopita wakiwa wamepoteza pale Brighton kwa goli 3-2.

Lakini Mourinho bado anasapoti kubwa kutoka kwa bodi ya Klabu ya United, na vyanzo vya karibu na timu hiyo vinakanusha kufanyika kwa mazungumzo ya kumbadili Mourinho na Zidane ambaye kwa sasa hana kazi baada ya kuondoka Real Madrid na kudai kwa sasa bwana Ed Woodward anadaiwa kuwa bado ana ujasiri katika club yake. Mourinho amesaini mkataba mpya mapema januari ambao unamfanya aitumikie timu hiyo mpaka mwaka 2021.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.