Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) limetoa taarifa kuhusu mchezo wa jana Mei 8, Simba v Yanga, Uwanja wa Mkapa.
Katika haliyo isiyotarajia mechi ya Simba Vs Yanga iliyopangwa ichezwe saa 11:00 jioni lakini muda ulibadilishwa na kuwa saa 1:00 usiku na kupelekea timu ya Yanga kugoma wakitaka mechi ichezwe muda uliopangwa awali.

Katika taarifa hiyo TFF wameitaka bodi ya Ligi kutoa taarifa kuhusu kuhairishwa kwa mechi hiyo, pamoja na kushughulikia hatma ya wapenzi wa soka waliolipa viingilio vya mechi hiyo.

TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!



David Pere
Bodi ya ligi wamezingua saaanaa tena sanaa
Venerose
Yanga wapo sahihi sana
Johnmary jo
Kwakweli wamefanya vibaya sana uongozi unabidi warudishe hela za mashabiki
Elika
Yanga kwani nyinyi mnasemaje
Khadija
Viingilio vyetu inakuwaje sasa
Mariam mtandama
Safi
Adelta
Sio poa kabisaa
Shafii
Big up yanga kwa kusimamia sheria na kanuni za soka.
Issa
Yanga atutak blaa blaa
Sarah
Safi
Shakila
Nice
Sauda
Mambo ya kandanda hayo
Caroline
Mambo ni moto
Lydia Emmanuel Magoti
Wamezinguwa hao TFF
aisha
Soka letu sijui linaelekea wapi
Amiri Kayera
Yanga wamezingua
neema hassan
Tff wanazinguaa