Rafael Benitez anatarajiwa kutangazwa kama kocha wa timu ya Everton akichukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Carlo Ancelotti ambaye amerejea klabu ya Madrid baada ya Zidane kujihudhuru.
Everton inajulikana kuwa timu ambayo haipendi sana kufanya uchaguzi wa makocha wake kabla ya kuwaajiri lakini hii inaweza kuwa tofauti mwaka huu ambapo uteuzi wa kocha Benitez unaweza kufanyika rasmi wiki ijayo.
Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao.


