Klabu ya Arsenal imelazimika kusitisha safari yake ya kwenda kushiriki mashindano ya Florida Cup nchini Marekani. Hatua hii ni kutokana na maambukizi ya COVID19.
Imeripotiwa kuwa kuligundulika uwepo wa baadhi ya watu waliokuwemo kwenye orodha ya watakaosafiri na timu kwenda Marekani, wamekutwa wameathirika na COVID19.
Kufuatia visa hivyo vya waathirika wa COVID19 ndani ya kikosi cha Arsenal, klabu hiyo imelazimika kughairi safari ya kwenda Marekani na badala yake wataendelea na maandalizi ya msimu ujao wakiwa Uingereza.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!



Sarah
Duuh